TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

Hakuna nia ya kufanya marekebisho makubwa usalama wa taifa ili itumikie taifa kwa manufaa ya wananchi bila kuingiliwa au kupewa maagizo na wanasiasa.Siku hizi hata wala rushwa akisikia pale kuna watu wa usalama hatishiki maana wanawajua udhaifu wao.

Sijui nani atatusaidia hili,kuna matukio ya kutisha na yanapita hivi hivi kibaya zaidi hata mkuu wa nchi analalamika tu!
 
Utendaji wa kazi za kila siku unamfanya mtumishi kuhisi yupo juu ya sheria?.Mwajiri inabidi atoe mafunzo kwa watumishi wake sasa,waache kiburi,kutisha watu.
Kwani inawezekana kiburi,jeuri ni hali iliyojengeka miongoni mwa watumishi wa taasisi hii , sasa matunda yake tunayaona.
 
kwani bahati mbaya maana yake nini?

watu wako kwenye sherehe yeye anakwendaje na silaha tena ya moto?

au ndiyo mwisho wa mwaka watu wanataka vyeo kwa damu
 
Tatizo si katika usalama wa Taifa tu, bali ni system nzima ya kuanzia Ikulu! Na hili linatokana na ukweli kuwa kila mtu anajiona ni kiongozi mwenye amri mahali alipo.
 
Inasikitisha sana.
Ila naomba niulize kuna mtu anajua majukumu ya hawa USALAMA WA TAIFA kimuundo serikali ?
 
For sure kwa kuwa walipaswa kuwa wanajua motive behind nakuchukua hatua hata kabla ya tuko kutokea.Zamani nilipokuwa mdogo sikuwa naona matokeo,kumbe walikuwa wanayafuatilia kwa umakini na wanapokuwa wamejilizisha kuwa ili hatari kwa jamii wanalielimnate mpango mzima unakufa kifo cha mende miguu juu na daima watanzania hawezi kujua hata kiduchu cha nini kilikuwa kinaendelea.

Lakini siku hizi it seems wanashughurika na MATOKEO ya incident na yako unpleasant.

Moja ni kuibadilisha idala hii iwe taasisi [Institution] na ifanyiwe unyambulisho [Reform] itabadilika na kutoka huko iliko sasa kweli yaitajika dira [vision] kuipeleka kwenye zama mpya za kushugurikia mambo sensitive kwa misingi ya kuhakikisha hayatokei na kuleta hasara kwa Taifa, na sio sasa inafanya kusikika Askari kaua askari mwenzie, mara askari kaua raia.Unaweza kujiuliza hivi mpaka vijana hawa wanafika hapo vetting haikufanyika kuweza kujua kijana kama huyo aweza kuwa arrogant, short -temper n.k.
 
kwamba sasa afisa wa takukuru bhoke ryoba ameuawa na "watu wasiojulikana" mbele ya kadamnasi ya watu inaendeleza kile ambacho wengine tumekisema kwa miaka sita sasa - kuna tatizo la msingi la muundo na utendaji katika usalama wa taifa.

Ninakumbushia tu.
sijui kama unafahamu majukumu ya usalama wa taifa.au ili mradi nawe umeweka topic leo
 
Sio kwamba ina tatizo,bali haipo kabisa maana kama ingekuwepo Twiga wasingepanda ndege,uozo wa Bandari ungekuwa umeshaanikwa kitambo..TISS ni WAFU!
 
sijui kama unafahamu majukumu ya usalama wa taifa.au ili mradi nawe umeweka topic leo

Hebu nyamaza!!! si lazimu kuchangia kila thread wajua?! We unadhani mwandishi wa habari mkongwe kama huyu Mzee Mwanakijiji hajui majukumu ya Usalama wa Taifa. Miaka yote aliyokaa Daily News bado asijue tu. Kwanza Tanzania hakuna Usalama wa Taifa. Wapo tu mafuska kadhaa pale walevi wakubwa wakijivunia vitambulisho bila ujuzi wowote wa taaluma hiyo nyeti... Intelligence ni taaluma ya accurate data collection for timely decision making. Wanashindwa ku collect data hata zilizo barabarani. Kazi yao kuwaza hela, matiti na pombe tu. Na kama wewe ni mmoja wao achana na Mzee Mwanakijiji. Kachukue tu allowance yako ya leo kalewe....

Usalama wa Taifa ulikufa na Nyerere
 
huu uzi utaondolewa, wamekuwa wanatumiwa si tu na wanasiasa
ukiwa na ugomvi na mtu,unawauzia ugomvi
 
Mzee Mwanakijiji umeandika too short as if sote tunaelewa hiyo issue.

Hebu dadavua kidogo kisha tuone Usalama wa Taifa wanahusikaje??? Mbona hujawalaumu Polisi kwa suala hilo kwa kushindwa kuwakamata hao wahalifu.

Jamaa alikuwa na interest zipi mpaka auwae????

Hayo kwangu nadhani ni maswali ya msingi ninayoyataka mjibu yake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom