wabongo wengi hawajui bunduki. wanadhani inafyatuliwa kama unavyowasha swichi ya taa ya umeme, yaani unabonyeza tu mara moja. bunduki ina hatua hizo alizotaja jamaa yetu hapo. Huwezi kuwa kwenye sherehe alafu una bunduki imefunguliwa usalama labda kama ulikuwa na kusudio la kuifyatua.
niko hapa msibani ni simanzi. Marehemu anamtoto wa chini ya mwaka mmoja. Analia anamtaka *****. Usiombe.
kapigwa na kitu chenye ncha kali sio risasi
Mkuu ungetuambia anaitwa nani..., me nimepata jina moja anaitwa Bhoke na alikuwa na cheo cha mchunguzi wa kawaida.
RIP Bhoke
It happens jamani manake hata mimi ilishawahi kunitokea bahati nzuri nilikuwa nimeelekeza chini
Yaan bahati mbaya inakuja na aura???? Y did you target the earth surface then????
Haya maneno muwaambie wasiojua silaha kabisa........google on accidental bullet utajua uzembe ulioufanya
alikuwa akitaka kupiga risasi hewani kutishia vibaka.
Takukuru wanaruhusa ya kutembea na silaha?
kweli siku yako ikifika imefika tuu, yani risasi ijipige yenyewe au ikupate wewe na ufariki? ishi kama hii ilimpata kijana mmoja musoma yeye alipigwa na rfk yake bahati mbaya wakati wanatest bastola aliyonunua(marehemu).
Please be careful na silaha