pererge
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 571
- 206
ilikuwaje
usalama wa bunduki unafunguliwa
risasi inaenda chemba
taiga anabonyeza
risasi inatoka
bahati mbaya kweli?
hafai kupewa au kumiliki siraha
uzembe wa hali ya juu
wabongo wengi hawajui bunduki. wanadhani inafyatuliwa kama unavyowasha swichi ya taa ya umeme, yaani unabonyeza tu mara moja. bunduki ina hatua hizo alizotaja jamaa yetu hapo. Huwezi kuwa kwenye sherehe alafu una bunduki imefunguliwa usalama labda kama ulikuwa na kusudio la kuifyatua.