Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Msiwe mnasifia kwenye vtu vua kipuuzi sana. Bati bando ilikua ni 350000 now no 430000 hiyo ni asilimia ngp. Huo ni mfano Moja tu.
Ni 22.86%. Bati huagizwa kutoka nchi za nje, hapa nchini kinachofanyika ni kutengeneza migongo, kukatakata na kupaka rangi. Bei ya kusafirisha contena moja kutoka China mpaka Dsm ilikuwa $3,000 sasa hivi ni $ 12,000 kama sikosei sawa na omgezeko la 75%. Na huko nje ndiko inflation rate imepanda kufikia 30% kwa hiyo bei ya kuzalisha bati ghafi huko nje pia imepanda. Tutegemee mabati kuendelea kupanda bei. Tatizo sio serikali.

SSH alisema tunapotoa lawama mitandaoni ni bora tukatoa na maoni ya ufumbuzi wa matatizo hayo au mbadala.
 
Hii ni mbaya sana kama ni kweli
 
SSH alisema tunapotoa lawama mitandaoni ni bora tukatoa na maoni ya ufumbuzi wa matatizo hayo au mbadala.

Anapoteua afuate weledi na sio jinsia ,dini na kama ni wa visiwani au bara!! Hapo ndipo atakapopata wasaidizi watakaoweza kumsaidia badala ya kuomba kuwa Watu watoe ushauri wa matatizo humu mitandaoni!!!
 
Kwa akili yake anaamini kabisa Rais anasoma ushauri wa mitandaoni, yaani kabisa?? Yeye ana ishu zake sema akiona mtu ameenda kwenye angle yake ndio atajifanya kwamba huwa anasoma na kusema jambo fulani alisoma mtandaoni.

Sasa hivi kalala zake akiamka ana yake
 
Anasoma sana JF, asiposoa humu atakwama; kwani kwa Tanzania humu ndio kisima cha hekima, hao wa Msoga wanamchezesha shere tu!!
 
Nchi ya Tanzania kuelekea 2025 Rais Samia Suluhu amedhibiti mfumuko wa bei|| US, UK, Uturuki, Ujerumani hali ni mbaya.​

===

Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili,

Marekani inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya zaidi wa bei kuwahi kutokea katika historia ya nchi hiyo unaofikia asilimia 6.8,

Ahueni ni kwamba,Tanzania sisi tumesalia kwenye mfumuko wa bei uliyo kati ya asilimia 3 & 5.

Mfumuko huu wa bei wa nchi ya Marekani haujawahi kutokea kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita,

Nchi ya Marekani kwa mara ya mwisho ilishuhudia mfumuko wa bei unaokaribiana na huu mwaka 1982,

Watanzania lazima mwelewe vizuri kadhia hii ya mfumuko wa bei Si kwa Tanzania na Marekani tu,UK, Uturuki, Ujerumani nako hali ni mbaya kuliko Tanzania,

Wakati watanzania wengi tunalalamika kwamba vitu vimepanda bei nchini hali ni tofauti sana kwa majirani zetu na duniani kote,

Watanzania lazima mwelewe,Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Covid -19 bei ya bidhaa na huduma karibu dunia nzima iko juu sana,

Ushauri wa bure kwa Watanzania wenzangu tufanye bidii kuelewa yanayoendelea huko duniani sio kulalamika na kuilalamika serikali yenu pekee ,

Kwa mujibu wa World Population Review Tanzania ilikuwa na Inflation ya asilimia 3.4 mwaka 2021 ambayo ni nzuri na yaafya,

Kenya wao inflation ilifikia asilimia 6.06 huku Rwanda ikipaa na kufikia asilimia 13.16 na Uganda ni asilimia 3.0 japo inflation imeendelea kupanda maeneo mengi,

Wakati huo huo huko duniani Venezuela wao hali ni mbaya zaidi kwani wanashika mkia kwa kuwa na inflation rate ( CPI ) ya asilimia 9,986,

Kwa Upande wa Africa Zimbabwe wanashika mkia kwa asilimia 56.8 ,

Zimbabwe wanaifanya SADC kuwa na ongezeko la inflation kwa mwaka 2020|21 linalofikia asilimia 3.5 na kuifanya SADC kuwa na annual inflation ya asilimia 46.9,

Inflation inachangiwa na mambo makubwa matatu ambayo ni Demand|Mahitaji ya bidhaa na huduma , Gharama za Uzalishaji|Cost of Production na Nguvu kazi au built in inflation

Tanzania kinachotusumbua ni "Cost Push Inflation " yaani mfumuko wa bei unaosababishwa na gharama za uzalishaji kupanda,

Hili limechangiwa zaidi na kuongezeka kwa bei za "mafuta" na kukosekana kwa Umeme wa uhakika wakati flani pia kupanda kwa malighafi mbalimbali,

Mpaka naandika makala hii mfumuko wa bei Tanzania kwa bidhaa na huduma kwa Vipimo vyote vya CPI,PPI na WPI unakisiwa kufikia kati ya asilimia 3 & 5 hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwisho ya BOT,

Tunaposema Tanzania ipo salama sana chini ya Mhe Samia Suluhu Hassan tunamaanisha haya,

Watanzania lazima tutambue kuwa kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma Tanzania ni "JAMBO LA DUNIA NZIMA"

Kupanda kwa bei za bidhaa si jambo la Mama Samia Suluhu Hassan wala CCM, ACT-Wazalendo,NCCR-Mageuza au CHADEMA bali " Nijambo la dunia nzima" Tushikamane,

" Kilio cha wengi hugeuka sherehe "
View attachment 2070586
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Hiv ccm ina kiwanda wapi cha kuandaa misukule na ndondocha kam hizi? Jaman ktk maisha ya mtanzania ni sehem gan au bidhaa gani imeshuka badala ya kupanda?
 
Wataalamu wanasema mfumuko wa bei hadi wa 20 % ni mzuri kwa ukuaji wa uchumi. Na hadi wa 40% auna madhara kwa uchumi.
Mfumko mziri ni 4 % to 5% (moderate inflation) hiyo uliyo sema ni hyperinflation ambayo Ni mbaya Sana. Mfumko huo Mana yake Kama Bei ya pipi asubuhi ni 200, mchana itakuwa 2000, jioni itakuwa 10000 na usiku kabisa itakuwa laki moja.
 
Mafuta ya kupikia dumu la lita 20 ambamo ndani mna mafuta lita 18 bei yake 92000 kwa jana.

Sembe kilo moja 1200

Ngano kilo moja 1700

Ni ujinga kulinganisha Tanzania na marekani.

Linganisha kipato cha siku kwao na hapa Tanzania.
 
Punguza mihemko ya nyege,amedhibiti mfumuko wa bei kuwa nje ya malengo ya sera ya fedha ya 3-5%..

Huoni Nchi zingine ni majanga tupu? Chuki zitakuua wewe,afu sio kila bei ikipanda basi ni tatizo usikariri huu ujinga kichwani kwako.[emoji116]

View attachment 2107243

View attachment 2107244
Hizi takwim za makaratasi siku zote huwa hazinaga uhalisia wa maisha kwa wananchi hata kidigo bali iko kwa mafsadi wa ccm tu, so km una nyege kujia hapa nkupe tiba dadaangu
 
Mfumko mziri ni 4 % to 5% (moderate inflation) hiyo uliyo sema ni hyperinflation ambayo Ni mbaya Sana. Mfumko huo Mana yake Kama Bei ya pipi asubuhi ni 200, mchana itakuwa 2000, jioni itakuwa 10000 na usiku kabisa itakuwa laki moja.
Usikariri,hadi dakika hii mfumuko wa bei wa Uturuki ni 40% na uchumi unakua kwa 9%..

Kwa hiyo it is healthy kwa uchumi bei zikiwa zinaongezeka badala ya kuwa stagnant..

Kwanza nashangaa serikali inakomaa na sera za kijinga za contractionary kwa ku peg rate ya 3-5 badala ya kusema tuu iwe single digit yaani inflation isizidi 9%..

Sera za hivyo zinafaa Nchi zilizoendelea kwa kuwa kule resources/economy is assumed to be at fully employment na inflation yeyote ya 3-5 iko biting kwao zaidi kuliko kwenye Nchi zinazoendelea kama Tanzania..
 
Mafuta ya kupikia dumu la lita 20 ambamo ndani mna mafuta lita 18 bei yake 92000 kwa jana.

Sembe kilo moja 1200

Ngano kilo moja 1700

Ni ujinga kulinganisha Tanzania na marekani.

Linganisha kipato cha siku kwao na hapa Tanzania.
Ulitaka viuzwe sh.ngapi wewe? Wewe ni layman wa uchumi, yaani mkulima auze gunia la mahindi kwa sh.40,000 ndio itampeleka wapi hii bei?

Unadhani uchumi ni kwa watu wa Dar kununua vitu kwa bei ya chini? 😄😄😄😁😁
 
Hizi takwim za makaratasi siku zote huwa hazinaga uhalisia wa maisha kwa wananchi hata kidigo bali iko kwa mafsadi wa ccm tu, so km una nyege kujia hapa nkupe tiba dadaangu
Tupe zenye uhalisia basi.Pili bila makaratasi kama unafanya vizuri au hufanyi vizuri?

Stuka wewe zama za Giza za kupika Takwimu zilizikwa Chato saizi tunawachana live.

Harafu hii dhana ya kijinga mliyokariri Kwamba Bei za vitu zikiwa.stagnant Ndio kukua kwa Uchumi mumeitoa wapi? Mlidanganywa na nani?

View attachment 2107252

Screenshot_20220203-152536.png

Screenshot_20220203-152655.png

Screenshot_20220203-152615.png

Screenshot_20220203-152719.png
 
Usikariri,hadi dakika hii mfumuko wa bei wa Uturuki ni 40% na uchumi unakua kwa 9%..

Kwa hiyo it is healthy kwa uchumi bei zikiwa zinaongezeka badala ya kuwa stagnant..

Kwanza nashangaa serikali inakomaa na sera za kijinga za contractionary kwa ku peg rate ya 3-5 badala ya kusema tuu iwe single digit yaani inflation isizidi 9%..

Sera za hivyo zinafaa Nchi zilizoendelea kwa kuwa kule resources/economy is assumed to be at fully employment na inflation yeyote ya 3-5 iko biting kwao zaidi kuliko kwenye Nchi zinazoendelea kama Tanzania..
Kwa hiyo sometimes vitabu vinadanganya au uchumi sometimes Ni betting.
 
Back
Top Bottom