Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Tupe zenye uhalisia basi.Pili bila makaratasi kama unafanya vizuri au hufanyi vizuri?

Stuka wewe zama za Giza za kupika Takwimu zilizikwa Chato saizi tunawachana live.

Harafu hii dhana ya kijinga mliyokariri Kwamba Bei za vitu zikiwa.stagnant Ndio kukua kwa Uchumi mumeitoa wapi? Mlidanganywa na nani?

View attachment 2107252

View attachment 2107253

View attachment 2107254

View attachment 2107255

View attachment 2107256
Ni lini kamati hii ilikataa kuridhishwa na mwenendo wa uchumi? Twambine ukweli.
 
Kwa hiyo sometimes vitabu vinadanganya au uchumi sometimes Ni betting.
Vitabu vinakupa theoretical baseline ila havikupi actual situation kwa sababu Sayansi ya Uchumi inategemea mazingira tofauti tofauti,tamaduni,hulka za jamii na other supportive sectors..

Kwa mfano kwa case ya Uturuki, tatizo ni demand iko kubwa Sana na pili vikwazo vya US kwa pesa ya Uturuki,sasa intervation ya hapo haiwezi kuwa ya mda mfupi..

Pia kuna ishu ya Pakistani, inflation iko kwenye 11% na uchumi unakua kwa 8% nao wanasema wanalazimika ku shusha growth rates kwa sababu sekta zinazokua.ni za exports ambazo ni corporate zaidi huku masses wakiachwa na hao ndio wanaumia na inflation..

So hakunaga uniformity za ku manage uchumi ndio maana mnatakiwa kuwa na panel ya wachumi wazuri kushauri policy intervations sio kila mtu kujifanya mjuaji kama hapa Tzn.
 
Kuanzi elo nimeamini kuwa uchumi siyo somo ni usanii flani wa kucheza na akili za watu na muonekano wao. Kwa unumla Ni sawa na tatu mzuka, wasafi betting au sport pesa. Masomo Ni Kama sayansi na hesabu ambayo hayabadiliki. Huwezi kuniita msomi ni umesoma uchumi ambao hata diamond anaujua tena hajae da shule.
 
Tuanze na mafuta ya kula tu last week dumu la mafuta ya kula ilikua elfu 86,000/= now bei ni elfu 93,000/=
 
Kuanzi elo nimeamini kuwa uchumi siyo somo ni usanii flani wa kucheza na akili za watu na muonekano wao. Kwa unumla Ni sawa na tatu mzuka, wasafi betting au sport pesa. Masomo Ni Kama sayansi na hesabu ambayo hayabadiliki. Huwezi kuniita msomi ni umesoma uchumi ambao hata diamond anaujua tena hajae da shule.
Ni somo zuri Sana ila linahitaji watu smart na wenye uwezo.

Economics sio Sayansi ya 1+1=2,,hicho kitu hakipo,wao wanasema their laboratory is uncontrolled like natural sciences libaratory,kwa hiyo maabara yao ni the whole world..

Binafsi ni Moja ya SoMo nalolipenda Sana, wachumi ni controller wa sekta zote za Uchumi na ukitaka Uchumi uende vizuri lazima wanasiasa wakae pembeni then wachumi wawe wanafanya research na wanatoa majibu across the sector Ili sekta husika ziji tune..

Sio mtu anakurupuka from no where mara ooh tuwekeze kwenye VEta afu mkiwa na mafundi wengi so what? Ndio itapandisha Uchumi?

Lazima kuwe na uwiano wa kisekta na kila kitu kifanyike kwa mahitaji na si vinginevyo..

Nchi zilizoendelea zina admit Watu wachache sana kwenye fani ya Uchumi kwa sababu wao ni watunga sera sio kama sisi huku tunabahatisha.
 
Tunapozungumzia mfumuko wa bei tunamaanishi huu wa Pakistan na Turkey,Tanzania hakuna mfumuko wa bei .

Screenshot_20220204-140707.png

Screenshot_20220204-140742.png

Screenshot_20220204-141145.png
 
Back
Top Bottom