Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

Comparisons unqzoweka za mfumuko wa bei zinasaidia nini ugumu wa maisha ya Mtanzania?

Kwa hiyo unamaanisha, pamoja na shida zetu ambazo zinaweza kutatulika kupitia resources zilizopo badala yake unatubainishia kwamba mbona fulani na fulani wana shida kuliko sisi?

Unajua Marekani wana Social Security Fund inayowapa posho jobless? Kwao mfumuko wa bei unatibika.

Uache ujinga wa kutuona sisi hamnazo. Tunafanya research na tunajua kuwa hii serikali inawaminya wananchi wake bila huruma.
Pesa haipo kwenye mzunguko na inakwapua kwa nguvu bila huruma kupitia tozo zisizo halali
Mkuu Marekani ndio master Economy so tunaiga mfano wake kwa mengi, Punguza chuki kwa Marekani
 
Sio tuu Marekani waliochemka bali hata Ulaya nzima,maisha yamekuwa magumu kwa Amsterdam sasa kamtelekeza mkewe Lisu ..

Lisu kaona isiwe tabu nirudi tuu nyumbani kimenoga..

Ona hapa Germany na Turkey

Screenshot_20220104-065943.png

Screenshot_20220106-211054.png

Screenshot_20220106-211127.png

Screenshot_20220106-141709.png

Screenshot_20220105-152606.png
 
Kwa hiyo sasa Thamani ya Shilingi ya Tanzania imeipita dolari ya Marekani ?
 
Mkuu Marekani ndio master Economy so tunaiga mfano wake kwa mengi, Punguza chuki kwa Marekani
Dimchukii mmarekani bali napuuza uongo wako.

Ukisoma hoja yangu utaona hakuna mahala niliposema ama kuonesha chuki hiyo.

Bali nasema wewe unapaswa kupuuzwa na hakika ni mpuuzi
 
Nipuuzwe kwa ubaya gani nilofanya mkuu wangu?
 
Comparisons unqzoweka za mfumuko wa bei zinasaidia nini ugumu wa maisha ya Mtanzania?

Kwa hiyo unamaanisha, pamoja na shida zetu ambazo zinaweza kutatulika kupitia resources zilizopo badala yake unatubainishia kwamba mbona fulani na fulani wana shida kuliko sisi?

Unajua Marekani wana Social Security Fund inayowapa posho jobless? Kwao mfumuko wa bei unatibika.

Uache ujinga wa kutuona sisi hamnazo. Tunafanya research na tunajua kuwa hii serikali inawaminya wananchi wake bila huruma.
Pesa haipo kwenye mzunguko na inakwapua kwa nguvu bila huruma kupitia tozo zisizo halali
Ninachojaribu kuwaonesha Watanzania kwamba Si Tanzania pekee vitu vimepanda bei,

#Kilio cha wengi ni sherehe
 
Back
Top Bottom