Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Jf mnafanya kazi nzuri sana,Kilio cha wengi hugeuka sherehe :
Nchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia hii nayo ni muhanga wa hili,
Watanzania tunapata ufafanuzi wa mambo mbalimbali kirahisi sana,
Leo nimeelewa kumbe kupanda kwa bei ni dunia nzima,
Nafunga mdomo wangu,