ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,381
- 869
Ninachojaribu kuwaonesha Watanzania kwamba Si Tanzania pekee vitu vimepanda bei,
#Kilio cha wengi ni sherehe
Ninachojaribu kuwaonesha Watanzania kwamba Si Tanzania pekee vitu vimepanda bei,
#Kilio cha wengi ni sherehe
Daaah,Adui mkubwa wa 'vampires' na 'ghosts' ni mwanga!
... Mleta mada pole sana kwa matusi uliyopata!
View attachment 2077349
Kazi iendeleeinflation sio mambo ya maendeleo?
Mfumuko gani wa kuchungizwa wakati figures ziko wazi kama hivi?Waziri wa uwekezaji ameagiza kufanyika uchunguzi kuhusu mfumuko wa bei
Point muhimu ni hiyo ya mwisho hapo,acha blah blah zako.Unapoweka inflation tuambie basi kama income imepanda na kama imepanda au imeshuka. Uweke uhusiano wa income na inflation.While economists have been divided over the concern the federal government should have over inflation, some have pointed out that while inflation has been rising, the unemployment rate has remained low and wages have been increasing.
And while consumer confidence has dropped because of inflation, spending has been strong with retail sales rising in October.
The article was amended on 17 December 2021 to clarify in the headline and text that the annualised inflation rate rose to 6.8%,
Huyu zuzu bado analelewa,jinga sana watu wa chini tunateseka kununua vitu then unaleta ujinga ujinga hapa.Hii Dunia kumbe bado inamazuzu kiwango hiki,ungekuwa hulelewi na shemeji ungejua mfumuko wa bei,
Hata hivyo shemeji yako au Dada yako akirudi nyumbani jioni Muulize,Bei ya mafuta ya kula,sukari sembe na gesi.
Jibu utakalolipata kesho lete mrejesho.
Mleta nada ni Mbumbumbu, haelewi anachosema, hajui uchumi Wala biashara. Anawalisha matango pori, ni mtu wa propaganda!Nchi ngumu sana hii mkuu,
Why wewe nawe usipuuzwe,? Inflation ya Tanzania inazuiwa kupanda kwakuwa Chakula kiko chini sana,Mleta nada ni Mbumbumbu, haelewi anachosema, hajui uchumi Wala biashara. Anawalisha matango pori, ni mtu wa propaganda!
Kama mfumuko wa Bei huko duniani ni 6.8%. ...Je Tanzania itakuwaje 3 mpaka 5? Kwanza Haina namba mbili..taja rate ya mfumuko wa Bei....
Pili: Tanzania wanaimport bidhaa nyingi sana, Sasa waagizaji watanunuaje ghali, halafu waje kuuza rahisi?
Mpuuzeni huyu chawa uvccm
Kazi nzuri sana Mama yetuNchi tajiri kabisa dunia ya Marekani inayomiliki zaidi ya asilimia 20 ya Uchumi wote wa dunia inashuhudia mfumuko mkubwa na mbaya wa bei kuwahi kutokea katika nchi hio unaofikia asilimia 6.8, huku Tanzania sisi tukisalia kwenye mfumuko wa asilimia kati ya 3 & 5.
Mfumuko huu wa bei wa nchi ya Marekani haujawahi kutokea kwa miaka 40 iliyopita kwani kwa mara ya mwisho ulishuhudiwa mwaka 1982,Si Marekani tu UK, Uturuki, Ujerumani nako hali ni mbaya,
Wakati watanzania wengi tunalalamika kwamba vitu vimepanda bei nchini hali ni tofauti sana kwa majirani zetu na duniani kwa ujumla wake kwa bei ya vitu huko ni juu zaidi, Watanzania tufanye bidii kuelewa yanayoendelea duniani sio kulalamika pekee ,
Kwa mujibu wa World Population Review Tanzania ilikuwa na Inflation ya asilimia 3.4 mwaka 2021 wakati Kenya ikiwa na asilimia 6.06,Rwanda asilimia 13.16 na Uganda ni asilimia 3.0 japo inflation imeendelea kupanda maeneo mengi,
Wakati huo huo huko duniani Venezuela wao wakishika mkia kwa kuwa na inflation rate ( CPI ) ya asilimia 9,986 na Zimbabwe wakifikia asilimia 56.8 na kuifanya SADC kuwa na ongezeko la inflation kwa mwaka 2020|21 linalofikia asilimia 3.5 na kuifanya SADC kuwa na annual inflation ya asilimia 46.9,
Inflation inachangiwa na mambo makubwa matatu ambayo ni Demand|Mahitaji ya bidhaa na huduma , Gharama za Uzalishaji|Cost of Production na Nguvu kazi au built in inflation
Tanzania kinachotusumbua ni "Cost Push Inflation " yaani mfumuko wa bei unaosababishwa na gharama za uzalishaji hasa baada ya kuongezeka kwa bei za "mafuta" na kukosekana kwa Umeme wa uhakika wakati flani,
Mpaka naandika makala hii mfumuko wa bei Tanzania kwa bidhaa na huduma kwa Vipimo vyote vya CPI,PPI na WPI unakisiwa kufikia kati ya asilimia 3 & 5 hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwisho ya BOT,
Tunaposema Tanzania ipo salama sana chini ya Mhe Samia Suluhu Hassan tunamaana hii na lazima Watanzania watambue kuwa kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma Tanzania ni "JAMBO LA DUNIA NZIMA" wala si jambo la Mama Samia Suluhu Hassan CCM,ACT-Wazalendo,NCCR-Mageuza wala CHADEMA ni jambo la dunia nzima.
View attachment 2070586
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Tumwombee tuKazi nzuri sana Mama yetu
😀😀😀Waziri wa uwekezaji ameagiza kufanyika uchunguzi kuhusu mfumuko wa bei
Kuwa handsome nako ni shida?Hata wewe Jumbe Brown ukiitwa Handsome Boy CBE hutaona shida?
😀😀😀Huyu zuzu bado analelewa,jinga sana watu wa chini tunateseka kununua vitu then unaleta ujinga ujinga hapa.😀😀😀
Mpaka naandika makala hii mfumuko wa bei Tanzania kwa bidhaa na huduma kwa Vipimo vyote vya CPI,PPI na WPI unakisiwa kufikia kati ya asilimia 3 & 5 hii ni kwa mujibu wa ripoti ya mwisho ya BOT
Kwani siumeambiwa wa Marekani upo juu zaidi!Wewe mbwiga you are justifying mfumuko wa bei wa Tanzania kwa kusema kuwa hata huka Marekani na Ulaya pia upo hivyo tusilalamike? Per capital Income ya marekani ni shillings ngapi za Tanzania? Na Per Capital income ya mTanzania ni shilling ngapi? Kufuatana na tofauti hizo za wastani wa kipato huoni kuwa athari za mfumuko huo wa bei utakuwa tofauti kati ya mmarekani na mTanzania? Tanzania haina budi kuthibiti mfumuko wa bei nchini mwake kufuatana na hali halisi ya nchi na sio kutoa visingizio visivyokuwa na maana.