singida 60,s
Mazingira ya zaman mazuri sana..sa hivi sijui wanakwama wapi kwa sasa singida hamna eneo zuri hivo wala sipajui hapo palikuwa sehemu gani
singida 60,s
Walimu wa Kike wa Iringa Mjini Mwaka 1972
View attachment 74268
Hii ndo lile nilkuwa naonaga TVT sa 12 asubuhicatholic church,dar es salaam
Duh hili jengo kumbe la long hivi
Hawa mabinti wana mipaja. Nawazimia kichiziView attachment 1514953
Hapa sio Singida.Mazingira ya zaman mazuri sana..sa hivi sijui wanakwama wapi kwa sasa singida hamna eneo zuri hivo wala sipajui hapo palikuwa sehemu gani
Hii nyumba mpaka na Leo ipo. Ndipo alipozikwa chief Dodo, ni karibu na office ya RPC kwa sasa
Babati -Tanganyika enzi hizo..hizo zilikuwa mbio za magari zilikuwa zinajulikana kamaCoronation Safari Rally....hapo gari kiongozi likiwasili kutoka Hanang karibu kabisa kwenye junction ya Arusha - Dodoma road. Pembeni mwa gari kushoto unaweza kuona shule na kati kati ni nyumba ya chifu 'Amri Dodo's' kulia ni ofisi za serikali
picha ilipigwa kwenye 1950's
Hili jengo leo hii ndo Kituo cha police cha wilaya ya BabatiB
Babati, Tanzania (Tanganyika) in the mid 1950s
Ujamaa ulituponza,, siasa za ujamaa ziliwakimbiza wenye uchumi na Mipango, na kutugombanisha na wenye mitaji ,angalia wenzetu Kenya na Botswana kwamfano, nchi karibu zote zikizokuwa za kijamaa zilipata anguko kubwa sana la kiuchumi na kistaarabu ukiacha uchina, angalia kuanzia USSR (urusi) yaan Russia ya sasa, Cuba, nchi zote za mashariki Poland, Romania, Ukraine, Yugoslavia nkKwa kweli kama tungeendelea na kasi hii ya maendeleo, tungekuwa mbali sana. sasa hivi umbakia wizi na usanii tu!
Wakoloni walipangilia miji vizuri jambo ambalo hatujaweza tangu waondoke.Ukiangalia picha vizuri unagundua dar ya zamani ilikuwa nzuri kupita hii ya Sasa tazama hizo pichaView attachment 1589650View attachment 1589651View attachment 1589652View attachment 1589653
Unakosea yani mke wako wewe unataka ujilinganishe na jirani yako? Utasaidiwa kazi tuUnapojisifu uwe unajilinganisha nani ?!.
Tunaambiwa na ndiyo ukweli. Wakati tunapata uhuru Tanzania ilikuwa sawa Korea zote mbili, Indonesia , China , Kenya nk . Lakini Leo wote hao ni wahisani wetu.
Mfumo wa u communist tulioujaribu , umetupoteza mazima. Dar hiyo utailinganisha na mji gani wa kistaarabu ?!