View attachment 74223 View attachment 74224 View attachment 74225 View attachment 74226 View attachment 74227 View attachment 74228 View attachment 74229 View attachment 74230 View attachment 74231 View attachment 74232 View attachment 74233 View attachment 74234 View attachment 74234 View attachment 74235 View attachment 74236 View attachment 74237 View attachment 74238 View attachment 74223
Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947

View attachment 74224
Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front

View attachment 74225
Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s

View attachment 74226
Salender Bridge 1960s

View attachment 74227
Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

View attachment 74228
Seaview-Mawingu House 1960

View attachment 74229
Arusha-Clock Tower 1966

View attachment 74230
Dodoma City Center 1974

View attachment 74231
Bukoba City Center 1972

View attachment 74232
Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo

View attachment 74233
Korogwe Hotel

View attachment 74234
Same Hotel

View attachment 74235
Musoma 1960

View attachment 74236
Handeni Bomani Enzi Hizo

View attachment 74237
Shule Ya secondary Kisutu 1975

View attachment 74238
Iyunga Secondary 1966

Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012
hiyo picha ya 404 taxi tdz ni mtaa wa uhuru kariakoo na hiyo ya kwanza ni IPS mzunguko wa askari bunduki , safi sana kumbu kumbu nzuri naona na ekarus enzi hizo ilikuwa usafiri wa UDA hamna kujazana usafiri uhakika
 
hiyo picha ya 404 taxi tdz ni mtaa wa uhuru kariakoo na hiyo ya kwanza ni IPS mzunguko wa askari bunduki , safi sana kumbu kumbu nzuri naona na ekarus enzi hizo ilikuwa usafiri wa UDA hamna kujazana usafiri uhakika
H

4L-AJBD.jpg


5H-ATC.jpg


5H-ATC_P.jpg


5H-MPU_50.jpg


5H-MRC_ET.jpg


5H-MUZ.jpg


5H-MVV.jpg


5H-N707TZ.jpg


5H-TCA.jpg


5H-XX_550.jpg


5Y-WWWxy.jpg


ATC_7.jpg


ATC_plane.jpg
 


Hiyo Ndege Hapo Imekuja Kuzoa Almas Tu Na Kupeka Kwenda Kujenga Ulaya

 

Hiyo Ndege Hapo Imekuja Kuzoa Almas Tu Na Kupeka Kwenda Kujenga Ulaya

Wakawaachi Mwadui kama Ulaya na Almasi zake...
Mkaumburulu mji wa Mwadui mpaka mashine za kuchimbia, na hiyo ndege mliaachiwa ndio hii hapo chini...waliiuza kama vyuma chakavu

1656358600217.png

1656358565587.png


1656358448047.png
 
Natamani hata kulia nikuona hizi picha jamani kumbe wazee wetu waliishi maisha mazuri hizi history tunadanganyana tu ohh tulikuwa hatuna ma Dr na hawa nini tena wasafi mimi nilidhani wako Saloon kumbe Hosp.
Hivi inahitaji degree kujua ya kuwa hizi huduma unazoziona hapo zilikuwa zinawafikia wachache tu? tena ni wale wanaowanufaisha/watumikia Watawala?.

Hujaona picha nyingine Wazazi wako wamefungwa minyororo kama tumbili?. au ndio yale yale Mswahili ukishapata raha wewe wenzako wapambane na hali yao.
 
Kulikuwa kama Europ aisee.nini kimeharibu Dar ya sasa,kila mahali ukipita unakuta biashara ,yaani hakuna utulivu kabisa
Na usisahau kuwa vingi walivijenga kuwanufaisha wao wenyewe.

Kuna hizo Hotel unazoziona zinavutia Mswahili alikuwa aruhusiwi kuingia na kuhudumiwa, Mswahi utakayemkuta humo ni Muhudumu/Mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom