Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Bora Roma ameenda zake Zimbabwe kwa kuwa tz bado hakueleweki aiseeeee hakuna anayeweza pona kwa hili
 
Basis tutabaki tunajadili zari na diamond tu sasa tutafanyaje? Million 7 hata mobeto aliishia kupewa laki5
 
ILANI: Hizi sio kanuni za Sheria ya Makosa ya Mtandao.

Kanuni hizi zinakuja mwezi mmoja baada ya kuambiwa kuna sheria nyingine inakuja pia > Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

Zimewekwa hapa: http://habari.go.tz/uploads/documen...ne Content Regulations - 20 January, 2017.pdf

- Kanuni hizi naamini bado ni draft (kama sijakosea)

- Zitagusa karibu kila kitu kinachoandikwa mitandaoni

- Hizi si kanuni za Sheria ya Makosa ya Mtandaoni

3b05f967029234e52ecd5d963c93dcd5.jpg


- Vyombo vya Habari vyenye kuwa mtandaoni navyo havitapona!

- Forums kama JF nazo zimeguswa!

1c625daaa2455281a76945eabecb3f71.jpg


- Social Media Platforms (hadi Makundi ya WhatsApp/Facebook/Instagram/Twitter) nako hakuko salama [emoji1484]

0d59b9ef8b3967d95d59cece433835ec.jpg


- Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imepewa nguvu za kutosha kabisa! [emoji1484]

4b8f37c83d1428656d2c5ca8222b9fa6.jpg


- Sect 5(1) inamtaka mwenye kumiliki mtandao kuhakikisha anakusanya taarifa za kutosha za wateja wake! (Inalengwa JF?).

- Sect 5(1) pia inamtaka mwenye kumiliki mtandao akiona kitu ambacho wao TCRA wamekwambia hakifai uwe umekiondoa ndani ya saa 12!

- Watanzania walio nje ya Tanzania (diaspora) nao wameguswa!

- Maneno FORUM yametumika mara nyingi kitu kinacholeta picha juu ya nani mlengwa haswa!

38f6df92bf07c138ce2d4e00a4b31a82.jpg


- Kanuni hizi zinakuja wakati JF ikiwa inakabiliwa na kesi 3 mahakama ya Kisutu na mojawapo ya kesi wanaoishtaki JF ni TCRA (kuwa na website yenye .com).

- Internet Cafe zitalazimika kuweka kamera za kunasa kila kinachoendelea ndani

f4387676ec6513c61d29e8548b036ba5.jpg


- Serikali yetu sasa inataka watu kuandika habari za kufikirika!

294603df95b68c645e915423402dfbe0.jpg


Na mwisho, Serikali yetu tukufu kupitia kwa Waziri ambaye ni msomi wa sheria na "Mmoja wa Wapambanaji walio ndani ya CCM" imeweka adhabu kali kwa atakayekiuka taratibu hizi!!!

8727ae5790134c6d457a1637035627d5.jpg


Je, TUTAFIKA?

[emoji848]
KILA MTANDAO UNA disclaimer YAKE NA MTANDAO MINGI NI INTERNATIONAL HUWEZI KUIWEKEA LOCAL FILTER.
 
Tutafika Mkuu.Wanaoweka hizo sheria wa nadhani watakuwepi madarakani Maisha.Sheria hizo hizo zitakuja kuwabana wao wenyewe.Muda ni dawa.

Mtoto akililia wembe mpe

ANDIKO LAKO LINATIA MOYO SANA
 
kama ndio hivyo duuh cwakataze technology zote turudi analogy.....

jamaa alivyo dictator uchwala naanza kuelewa huwa wanapenda kuongea sana na kyckilizwa na kuabudiwa na kujiona yao yote sahihi hata akiongea uongo unatakiwa ukubar. hahaha thanks zito kwa notes zako nakuelewa sana bro.
 
Dalili kubwa ya UDIKTETA hii inataka kulikumba Taifa letu pendwa.


GOD Forbid!
Ndo maana wakataka kuuwa Tundu Lissu walijua atapinga mauza uza kama haya.
Nchi inageuzwa kwa Meduro au Uturuki!!
Chunga sana!!
 
Ukifuatilia nchi nyingi raia waliamua kufanya Mapinduzi na kuondosha tawala zilizo madarakani ni Sheria kali kunywa raha ya kujiachia na uhuru kamili, na kodi nyingi haswa zile za ajabu ajabu... na Most of the Time Watawala huwa wanajisahau as if watakuwepo Madarakani Milele.. na wakishatoka hujuta sana kama Nape
Wanaleta vituko kama vile ni utawala wa kifalmte, wamejiweka wenyewe madarakani.
Ufashist!!
 
Back
Top Bottom