Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Poa tu,kabla hujazungumza ni lazima ufikiri kwanza..kwanini ujifiche kama unajua unachosema?
 
Dawa hakuna mahospitali mnafunga internet nchi nzima! Seriously ??!!! what a big joke! Hebu fanyeni maendeleo kwa wananchi acheni kukimbizana na kutafuta ubaya na wananchi. North America Europe hawana hili ninyi ndio mtaweza? Acheni kutisha na kudanganya watu. Nchi zilizoendelea internet access zipo kwenye mall, migahawa, Hotel etc. eti tutafunga internet nchi nzima what a crap!

You got a second side of the coin.

I am real sorry.
 
Na kama ili litawezekana kutiia ndani ya uda mfupi wa kwanza ni sisi maana ndio tunaowanyima raha na usingizi .. Hivyo basi nini cha kufanya kwa muda huu kila mwenye nondo ndio muda uafaka kuiachia na kuweka hadharani kila mtu ajue kinachoendelea ili siku wakipiga pini basi mambo mengi yawe wazi.
 
Tutakuwa tunaenda kupiga ukunga kwenye shimo la choo kutoa maoni yetu maana hatutakuwa na vifua vya kustahimili hii sheria mpya ya kidikteta.
 
Ni ngum kuamini kuwa Nina watu tena viongozi wenye mawazo ya ukija kazi hicho....katika karne hii.
Ogopa sana hadi mmiliki wa internet cafe anaweza kwenda jela kwa matendo yaliyofanywa na mteja wake.

79e5d6db2cb703b28197f2843344a97c.jpg
 
Waweke adhabu na kwa wanaongea mambo na wakayakiuka kama pombe,
 
Kanuni hizi zinakuja baada ya shambulio dhidi ya TL

sasa hivi dots zitachora mstari
 
Ni poa tu kama humu jf unalazimishwa usitumie jina la mnyama na ukitumia umevunja sheria na kuadhibiwa hapo ajabu ipo wapi!
 
Haya bwana.

Huo muda na rasilimali zilizotumika kudraft huo upupu wangeutumia kutafakari namna ya kuondoa shida ya maji na huduma za afya nchini.
Shida zimedumu nusu karne mkuu. Hawana dhamira ya dhati ya maendeleo.
 
~~~>>>>Ni jambo gumu sana kupingana na "Nyakati"... ... Kwakuwa tuna wabunge wengi wa CCM ambao ni Mazuzu hii sheria itapita

Lakini naamini hata wao, familia zao na ndugu haimaanishi kuwa wao wapo Salama sana.


Nani alifikiri kuwa Sumaye na Lowasa watakuwa wapinzani???


Endeleeni tu na "Ushamba
 
Tutakosa na wao watakosa maana hawatakuwa na sehem ya kupogia mapambio yao.
 
~~~>>>>Ni jambo gumu sana kupingana na "Nyakati"... ... Kwakuwa tuna wabunge wengi wa CCM ambao ni Mazuzu hii sheria itapita

Lakini naamini hata wao, familia zao na ndugu haimaanishi kuwa wao wapo Salama sana.


Nani alifikiri kuwa Sumaye na Lowasa watakuwa wapinzani???


Endeleeni tu na "Ushamba
Kweli kabisa mkuu!
 
ILANI: Hizi sio kanuni za Sheria ya Makosa ya Mtandao.

Kanuni hizi zinakuja mwezi mmoja baada ya kuambiwa kuna sheria nyingine inakuja pia > Tanzania: Authorities drafting another law targeting the Cyberspace

Zimewekwa hapa: http://habari.go.tz/uploads/documen...ne Content Regulations - 20 January, 2017.pdf

- Kanuni hizi naamini bado ni draft (kama sijakosea)

- Zitagusa karibu kila kitu kinachoandikwa mitandaoni

- Hizi si kanuni za Sheria ya Makosa ya Mtandaoni

3b05f967029234e52ecd5d963c93dcd5.jpg


- Vyombo vya Habari vyenye kuwa mtandaoni navyo havitapona!

- Forums kama JF nazo zimeguswa!

1c625daaa2455281a76945eabecb3f71.jpg


- Social Media Platforms (hadi Makundi ya WhatsApp/Facebook/Instagram/Twitter) nako hakuko salama [emoji1484]

0d59b9ef8b3967d95d59cece433835ec.jpg


- Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imepewa nguvu za kutosha kabisa! [emoji1484]

4b8f37c83d1428656d2c5ca8222b9fa6.jpg


- Sect 5(1) inamtaka mwenye kumiliki mtandao kuhakikisha anakusanya taarifa za kutosha za wateja wake! (Inalengwa JF?).

- Sect 5(1) pia inamtaka mwenye kumiliki mtandao akiona kitu ambacho wao TCRA wamekwambia hakifai uwe umekiondoa ndani ya saa 12!

- Watanzania walio nje ya Tanzania (diaspora) nao wameguswa!

- Maneno FORUM yametumika mara nyingi kitu kinacholeta picha juu ya nani mlengwa haswa!

38f6df92bf07c138ce2d4e00a4b31a82.jpg


- Kanuni hizi zinakuja wakati JF ikiwa inakabiliwa na kesi 3 mahakama ya Kisutu na mojawapo ya kesi wanaoishtaki JF ni TCRA (kuwa na website yenye .com).

- Internet Cafe zitalazimika kuweka kamera za kunasa kila kinachoendelea ndani

f4387676ec6513c61d29e8548b036ba5.jpg


- Serikali yetu sasa inataka watu kuandika habari za kufikirika!

294603df95b68c645e915423402dfbe0.jpg


Na mwisho, Serikali yetu tukufu kupitia kwa Waziri ambaye ni msomi wa sheria na "Mmoja wa Wapambanaji walio ndani ya CCM" imeweka adhabu kali kwa atakayekiuka taratibu hizi!!!

8727ae5790134c6d457a1637035627d5.jpg


Je, TUTAFIKA?

[emoji848]
Huu ni uoni hafifu wa kiteknolojia ya kupashana habari.Wakati wanafikiria kubana watu kwa hili, wataachwa mbali sana na teknolojia ya kupashana habari.Ina maana hawajifunzi wala kuona mabadiliko ya ajabu ya teknolojia hii? Kila mara kuna updates nyingi tu za kupeana habari kwa speed ya ajabu. Huo utungungaji sheria kandamizi nao utakimbizana na mabadiliko hayo? Leo unatunga sheria kandamizi kesho unaamka imeachwa na teknolojia .Kila siku uvumbuzi mpya.
 
Back
Top Bottom