kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Wadau tukaze buti hawa washalegea, bado kidogo tunawasukumia mbali wasiwepo wapotee kama lilivyokufa na kupotea azimio LA Arusha na siasa za ujamaa na kujitegemea.fisiemu GO fisiemu GO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]Mwisho atakuwa anaongea mwenyew.Yetu macho
Kweli wamedhamiria
Halafu kuna baadhi ya kanuni humo zinapingana moja kwa moja na vipengele vya katiba
Also this is a fruitless endeavour, NO-ONE has ever tried to control the internet and won, not now not ever
Kwa hali inavyoendelea, nadhani ni muda muafaka Jamiiforums wawe na warrant canary na waanze kupublish transparency reports
Hamna shida hasira zote tutamalizia 2020North Korea hii hapa Tanzania.
Kwa hiyo waogope kutunga sheria kwa sababu tu ipo siku hawatakua madarakani?..Tutafika Mkuu.Wanaoweka hizo sheria wa nadhani watakuwepi madarakani Maisha.Sheria hizo hizo zitakuja kuwabana wao wenyewe.Muda ni dawa.
Mtoto akililia wembe mpe
Be the first to reply,....!!!!!!!!!!!
Hatar kweli mkuu unakua mtumwa ndani ya nchi yakoHata Russia nasikia kuna uwezekano kufungia Facebook by 2018.Huku kwetu nahisi watafunga yote kwa kigezo cha HAPA KAZI KWANZA
Hilo tamko la elisante ni jipya (latest)wewe ndio unaona hii habari leo..mbona ilishajadiliwa humu jukwaani
OkHilo tamko la elisante ni jipya (latest)