Mkuu serikali hawawezi kuwa na internet hosting station, at most watakuwa na monitoring site ambapo watakuwa wana-monitor all the internet traffic coming in and out of the country, pia labda when the time comes they'll put up a firewall ambayo ita-block certain sites from being accessed in the country...
That's what China has, na ndo nchi inayoongoza kwa internet censorship, lakini all that can be circumvented through a VPN. Na China wameshindwa kuzuia hiyo, that's why ni ngumu sana kucontrol the internet fully, kwasababu utazuia upande fulani, wenzako wakatoka kwa njia nyingine