Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Hata wakifunga mkuu,tutazama kama kawaida hadi watakuja kuachia wenyewe,ondoa shaka mkuu
 
Wao si wakwanza duniani tutatumia VPN Holland...utawala wa kidikteta haujawahi kufanikiwa duniani
 
Wao si wakwanza duniani tutatumia VPN Holland...utawala wa kidikteta haujawahi kufanikiwa duniani
[emoji1][emoji1]mkuu na iyo avatar ya jeska,,utakua wa kwanza kufungiwa hahaa,,hivi vpn inafanyaje kazi? Na bundles sasa si zitakua haziinclude mbs kwa styl hiyo au wataeza punguza mbs
 
Lakini shida watu wa vijijini ndo wanaipigiaga kura ccm 2020 tusishangae wakabeba nchi tena ntahama aise nchi hii
 
[emoji1][emoji1]mkuu na iyo avatar ya jeska,,utakua wa kwanza kufungiwa hahaa,,hivi vpn inafanyaje kazi? Na bundles sasa si zitakua haziinclude mbs kwa styl hiyo au wataeza punguza mbs
Hapana mkuu mbona VPN Holland yenyewe ni free jaribu Leo kudownload na pitia humo kwenda Insta au facebook na harisha tusi lolote na kwa mtu yoyote na utakuwa salama..... na kwa usalama zaidi kuna vpn key security ni app ambayo itazuia program zote za serikali kuweza kuku ban kwa kutumia mitambo yao wanayotegemea kuifunga na kuanza kuicontol mitandao yote yakijamii....china iran na urrussi ndo kimbilio lao wapenda demokrasia na haki za binaadam...
 
Kuna wakati Mpinga Kristo au masihi dajall sio lazima awe na umbo la ajabu lakini kwa matendo pia utamjua.Muda ambao unashambuliwa sana ndio muda ambao unahitaji umakini mkubwa wa kukinga na muda ambao ukipata nafasi ya kushambulia ndio muda ambao unahitajika kushinda.WAKATI HAJIRA HAKUNA SABABU WINGI WA WASOMI KILA MWAKA KUONGEZEKA NDIO WAKATI AMBAO MABADILIKO YA KISIASA HUANZA KUZALIWA.
 
Back
Top Bottom