Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

nna siku chache tu zimebaki za kujimwaya mwaya humu jf
 
ivi nyinyi ccm ivi mnaitakia nini hii nchi?
 
Zote nyingi
Tumeshaanza kuzoea ironic rules hakuna kipya na hakuna cha kuogopa kwa vile tumeshajua ni serikali ya aina gani, wanaogopa ni wale wanadhani bado tuna serikali ya kidemokrasia, serikali ya kidikiteta haihitaji kanuni wala sheria inapohitaji kunyonga uhuru wowote.
 
hivi wanaomshauri Rais ni watu gani????

kwa nini wanamuweka Rais wetu kwenye vulnerable position kila siku?

ujinga watunge wao gizani,Rais ndio aje nayo kwenye media kudhalilika,

kwa nini nyie mnaomshauri Rais msikazanie kumuweka CLOSE na wananchi wake......?

kila siku baada ya speech ni another day ya 'matamko' kama sipangiwi etc,sasa hii inaleta picha gani??hamuoni mnaweka image ambayo inamuweka DISTANT na watu wake??

Mwisho,mkuu rais,kama kuiga tusiige mavazi tu kutoka amerika,tuige na freedom of speech,trump waliweka yale mamidoli makubwa,na Trump hakuwafunga,internet inakua kila siku kupigana nayo,ni kupigana na upepo.wastage of time and resources..................................

Besides,unafaidika na hii mitandao,ila its reality,you cant have the best of both worlds.
Hayo anayataka yeye mwenyewe, hao wasaidizi/ washauri hawana lawama. Hapangiwi ila anapanga kila kitu, kwa kutoa amri tu.
 
Hii serikali ya Magufuli lazima itakuwa serikali ya kifisadi.

Haiwezekani serikali ambayo inajinadi ya wanyonge inayotamba kupambana na rushwa na ufisadi ikawa inatumia nguvu nyingi kuminya uhuru wa wananchi wake kusema na kujieleza, uhuru wa kujumuika kwa kutunga sheria kandamizi, kujitoa kwenye forum ya open government, kuminya habari. Inawaficha nini wananchi wake?

Huu usiri wa serikali ya Magufuli kwa watanzania ni wa nini kama kweli yeye anapambana kwa ajili ya watanzania.
Nakubaliana nawe. Kama yeye ni mpigania wanyonge, na wanyonge wenyewe ndio sisi wananchi, kwa nini kutaka kila jambo lifanyike airing ili sisi wanyonge tusijue kinachoendelea?
Sitakuja kushangaa siku tukiwekewa wizi, ubadhirifu na ufisadi wa kutisha unaoendelea chini ya awamu hii.
 
Kweli wamedhamiria

Halafu kuna baadhi ya kanuni humo zinapingana moja kwa moja na vipengele vya katiba

Also this is a fruitless endeavour, NO-ONE has ever tried to control the internet and won, not now not ever

Kwa hali inavyoendelea, nadhani ni muda muafaka Jamiiforums wawe na warrant canary na waanze kupublish transparency reports

What about the Chinese? Seems to me they've done exactly that.
 
Tutafika.Wengi wetu tumetumia vibaya sana fursa ya uwepo wa mitandao kwa kuandika vitu visivyo na uhakika

Pale mtumiaji wa mtandao atakapoonewa sheria hizi tukufu zitampa nguvu kulinda haki yake
 
Hahaha jamaa 'yule' anajitahidi sana...lakini Mungu wa kweli yupo! Achana na huyo mungu feki anaeabudu 'huyu' jamaa
 
Tatizo kubwa sana kwa nchi kutunga sheria ikiwa inataka kumshughulikia mtu fulani tu.

Hauwezi kuendesha kwa kupandikiza hofu kwa unaowaongoza. Kitu ambacho mwanadamu hapendi ni kutawaliwa na Mungu alilijua hili mapema kwa sababu alipomuumba mwanadamu akampa mamlaka kwa viumbe vyote lkn sio kwa mwanadamu.

Wanadamu wanaongozwa na sio kutawaliwa. Kuongoza watu maana yake ni kujua kuwa wote mna uwezo ila anapaswa awepo mtu wa kushikilia kamba kwa mbele huku wengine wakiifungua ilipojikunja.

Mtawala anaamini kuwa kuna watu wana uwezo zaidi yake lakini atafanya kila awezalo kumzuia mtu huyo hata kwa sheria za kipuuzi.

Kiongozi akijua kuna mtu ana uwezo mkubwa zaidi yake basi atatafuta mbinu za kumtumia huyo mtu huku uongozi wake ukisifiwa kwa kutenda kazi vzr.

Ukiwanyima watu kutoa hasira zilizo ndani yao basi hilo ni bomu kubwa lile la Intercontinental ballistic missile.

Mimi kuna watu huwa namkosea mke wangu, makosa makubwa kabisa, huwa akikaa kimya basi hapa najua kuna janga na inapasa kutatua haraka sana, lkn ikitokea akaongea kwa hasira zake na tumachozi kidogo basi najua hapa nimeishasamehewa na ninaenda kumnunulia chocolate namletea mambo yanakuwa yamekwisha hivyo.

Sasa viongozi wa kiserikali Bahati mbaya hawana mtindo wa kutununulia chocolate raia wake. Watuache tutoe machozi yaliyo ndani. Watuache tulie na tuongee
 
Hii sheria nzuri sana wataichukia n wale wanaopenda kutumia mitandao kuchafua wenzao kazi nzuri jmt
 
JF ishajulikana. Mazingira yakiwa magumu nashauri JF wahame inchi ili tuendelee kuamsha madude uko uko masafa ya mbali
 
ukiwa mhanga wa matumizi mabaya ya mitandao ndio utajua umuhimu wa kuwa na sheria kama hizi.
 
Its easy, tutakuwa unaanza na kusema HABARI HII NI YA KUFIKIRIKA....Kisha mtu unatiririka kwa kutumia majina ya kufikirika kama Bashite, Pombe, etc
Hicho ndo kmebaki, watu najua kukaa kimya sio desturi zetu watz so kuongea hatuwez acha ukubwan leo wkt tokea utton watu walkuwa wanaongea, kuhusu mahakaman ngoja tusubr TL arudi kwnza najua hzo sheria ztapanguliwa tu kwa hoja,,, Mfalume Juha
 
Back
Top Bottom