Soma vyema mkuu. Hutaruhusiwa kuandika kitu cha kufikirika. Zinatakiwa facts tu
Kweli wamedhamiria
Halafu kuna baadhi ya kanuni humo zinapingana moja kwa moja na vipengele vya katiba
Also this is a fruitless endeavour, NO-ONE has ever tried to control the internet and won, not now not ever
Kwa hali inavyoendelea, nadhani ni muda muafaka Jamiiforums wawe na warrant canary na waanze kupublish transparency reports
Hizi ni regulations zisizo na sheria. Labda tuwaulize wanasheria what this means maana naamini haziendi Bungeni na zitaanza kutumika juu kwa juuHatimaye zimekuja kuna mtu huku alisema a law without rules sio sawasawa okee hizo apo kazi iendelee.
Mkuu serikali hawawezi kuwa na internet hosting station, at most watakuwa na monitoring site ambapo watakuwa wana-monitor all the internet traffic coming in and out of the country, pia labda when the time comes they'll put up a firewall ambayo ita-block certain sites from being accessed in the country...Internet inafungwa mitaani nchi nzima na serikali inakuwa na Internet hosting station yao.
Kwa hiyo hujui unachoongea.