Watanzania tutembee vifua mbereView attachment 1818748
Mkuu kosa ni mzungu?? Anyway let's back to our agendaUmesoma nilichoandika lakini?
Msingi wa neno lako ni mzungu tu uliyeongea naye bila kujali ana ujuzi gani au nimekunukuu kimakosa?
View attachment 1818762
Au hujaandika hivyo?
Kwani wewe ukivaa utaambukizwaje na mjinga ambae hajavaa?
Mbona mwenyekiti wako mr Dj huko mikoani anakusanya wazee wa watu wanarundikana kwenye viukumbi bila barakoa huku yeye akiwa kajichanja? Kuna mjinga zaidi ya huyo?
Mkuu kosa ni mzungu?? Anyway let's back to our agenda
Mkuu Kwan tumempinga mama?? Hoja huzuiwa kwa hoja.. wap tumesema tunapinga?? Ebu mkuu njoo na ushahid wapi tulifel kwa ile application ya mwanzo?? Je hi ya Sasa itakuwa successfully kwa namna ipi??Kama wanaopinga msimamo mpya wa mama na wala wake wako na huyu mwamba, kwamba nyungu ndiyo njia:
View attachment 1818766
na bado hawaoni tatizo na wanadhani wako vizuri? Tuelewane tu, tunakoelekea tutamshauri mama achume viboko na kuvitumia....
Mkuu Kwan tumempinga mama?? Hoja huzuiwa kwa hoja.. wap tumesema tunapinga?? Ebu mkuu njoo na ushahid wapi tulifel kwa ile application ya mwanzo?? Je hi ya Sasa itakuwa successfully kwa namna ipi??
Tuache tu kusema cjui barakoa cjui social distance au cjui lockdown... Je hi jamii hi ya kitanzania hii inahitaji hayo Mambo's??? Au ni kwa sabb ya zile usd570???
kwahiyo hiyo dola bln zaidi ya mia5 wanaletewa mbowe na Lisu au serikali ya ccmLisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.
Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Kwa hiyo ni serikali ya LISSU na Mbowe ndiyo imetangaza wananchi wavae barakoa?Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.
Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
walio mbele wana akili za kimatako kama wewe unadhani!!!Mi nimechanjwa kabla hata mungu wako hajachukuliwa na zirali
Akili zako za makalioni zinakutuma wote tuko hapo Usukumani tunahiji kaburi la mwendazake...
Mkuu wataalam wap?? Hawa wanaosema kuwe na chanjo au barakoa?? Wao ni wataalam waje na statistics.. ni wap hzo application zilileta matunda chanya?? In vivid kabisa nchi ipi?? Sema Ile b570 inawachangamsha...Mama anasisitiza tuwasikilize wataalamu wetu wa afya. Kateua tume kwa ajili ya hilo. Hii bado ni pamoja na kuwa sijasema popote kuwa mnampinga mama...
Mkuu wataalam wap?? Hawa wanaosema kuwe na chanjo au barakoa?? Wao ni wataalam waje na statistics.. ni wap hzo application zilileta matunda chanya?? In vivid kabisa nchi ipi?? Sema Ile b570 inawachangamsha...
Mkuu tuelewana kutokuelewana ila Jambo mhim ni hili hatuna vivid yakujustify kwa Nini tuwe hzo application wanazo ziimpich nw..Mama kateua wataalamu wabobezi wa masuala ya afya.
Kwa ufahamu wako wataalamu hao hatuna?
Tajiri mmoja mmoja nyumaMikono tunanawa, barakoa za kujitengenezea tunavaa, lakini chanjo hapana!!!