Watanzania tutembee vifua mbereView attachment 1818748

Kama wanaopinga msimamo mpya wa mama na wala wake wako na huyu mwamba, kwamba nyungu ndiyo njia:

IMG_20210614_192655_399.jpg

na bado hawaoni tatizo na wanadhani wako vizuri? Tuelewane tu, tunakoelekea tutamshauri mama achume viboko na kuvitumia.

Hatuwezi kukubali kuwaacha wendawazimu kuyaweka maisha yetu na yao hatarini.

Habari ndiyo hiyo.

Cc: boniphace-bembele-ngwita
 
Naona taratibu akili zimeanza kuwarejea. Akili zao zilikuwa zimeshikwa na mwendazake.
 
Magufuli fufuka home.....

Sijui huwa tunakwama wapi..🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Kwani wewe ukivaa utaambukizwaje na mjinga ambae hajavaa?

Mbona mwenyekiti wako mr Dj huko mikoani anakusanya wazee wa watu wanarundikana kwenye viukumbi bila barakoa huku yeye akiwa kajichanja? Kuna mjinga zaidi ya huyo?

Wajinga wapo THITHIEMU wengi tu.
 
Kama wanaopinga msimamo mpya wa mama na wala wake wako na huyu mwamba, kwamba nyungu ndiyo njia:

View attachment 1818766

na bado hawaoni tatizo na wanadhani wako vizuri? Tuelewane tu, tunakoelekea tutamshauri mama achume viboko na kuvitumia....
Mkuu Kwan tumempinga mama?? Hoja huzuiwa kwa hoja.. wap tumesema tunapinga?? Ebu mkuu njoo na ushahid wapi tulifel kwa ile application ya mwanzo?? Je hi ya Sasa itakuwa successfully kwa namna ipi??

Tuache tu kusema cjui barakoa cjui social distance au cjui lockdown... Je hi jamii hi ya kitanzania hii inahitaji hayo Mambo's??? Au ni kwa sabb ya zile usd570???
 
Mama anasisitiza tuwasikilize wataalamu wetu wa afya. Kateua tume kwa ajili ya hilo. Hii bado ni pamoja na kuwa sijasema popote kuwa mnampinga mama.

Wapi nimesema mnampinga mama?

Swali la pili la msingi:

Kwanini tusiwachie wataalamu wetu wabobezi wa afya kutuongoza dhidi ya gonjwa hili?

Majibu yako tafadhali.
 
Samia anashindwa kutuelekeza tuvae barakoa za kutengeneza wenyewe, au zakupewa(magufuli alisema zina corona) au zakununua nje ya nchi au zakununua wizara ya afya.
 
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
kwahiyo hiyo dola bln zaidi ya mia5 wanaletewa mbowe na Lisu au serikali ya ccm
 
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Kwa hiyo ni serikali ya LISSU na Mbowe ndiyo imetangaza wananchi wavae barakoa?
 
Mi nimechanjwa kabla hata mungu wako hajachukuliwa na zirali

Akili zako za makalioni zinakutuma wote tuko hapo Usukumani tunahiji kaburi la mwendazake...
walio mbele wana akili za kimatako kama wewe unadhani!!!
labda kama umeenda kukaa kwa dada yako aliyepata buzi.
 
Mama anasisitiza tuwasikilize wataalamu wetu wa afya. Kateua tume kwa ajili ya hilo. Hii bado ni pamoja na kuwa sijasema popote kuwa mnampinga mama...
Mkuu wataalam wap?? Hawa wanaosema kuwe na chanjo au barakoa?? Wao ni wataalam waje na statistics.. ni wap hzo application zilileta matunda chanya?? In vivid kabisa nchi ipi?? Sema Ile b570 inawachangamsha...
 
Mama kateua wataalamu wabobezi wa masuala ya afya.

Kwa ufahamu wako wataalamu hao hatuna?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom