ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,773
- 35,992
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord"
Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo
Wanajeshi wetu wengi wamefia Congo, ina maana damu zao hazijaacha alama yoyote.
Walichokipigania hakikumbukwi.
Pole sana JWTZ, mmeponzwa na mnaemlinda, damu na maisha yenu mmemwaga bure kule Goma na Kivu
Uganda alihudhuria makamu wa Rais Jessica Alupoo
Rwanda alihudhuria Rais Paul Kagame.
Kenya alikuwapa Rais Ruto
Burundi alikuwapo Rais Ndayishimye
DRC alikuwapa Rais Tshekedi
Hii ina maana Gani kidiplomasia?