Mkuu hizi ni hadithi za kusadikika... Huna ushahidi zaidi ya simulizi.. unaposema Kighoma Malima alikuwa akikomba fedha kwani Hazina kuna cash money gani ambayo ilimfanya asikombe wizara ya Elimu..Na tuache hivyo kuna waziri gani ambaye alikuwa hakombi (kufisadi) wakati wa Mwinyi? Wameiba woote lakini aliyeonekana ni Malima tu - muislaam mwenye siasa kali!Kwenye nyekundu kuna uzi mmoja ulikuwa ukiendelea wiki kadha zilizopita waweza tafuta ukapata ilikuwa kuwaje na kwanini ilivuma maramoja kisha baadaye kupotezewa kwa Mzee JSM kuitwa Jumanne.
Kwenye bluu, wako wanaosema Kighoma Ali Malima, alikuwa na back-up ya kundi fulani la waislamu ambao walitaka rais atakayefuata baada ya Mzee Mwinyi awe muislamu. Huyu jamaa alikuwa ni mdini kwelikweli. Anatajwa kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakishadidia kichini-chini suala la Zanzibar kujiunga na OIC. Baada ya Kibona kama Waziri wa fedha kufariki, yeye ndiye aliyepewa nafasi hiyo.
Akiwa madarakani akaanaza kukomba pesa kidogo-kidogo lakini kikubwa akawa anaficha ughaibuni. Strategically, kwamba atazitumia kwa kampeni. Alipokosa nafasi CCM akachomokea NRA. Akazikumbuka ngawila zake ughaibuni. Alipokwenda zifuata, the perfect thing was done, account ikawa imefungwa na Serikali ya Tanzania. Jamaaa akapata mfadhaiko/mshituko basi akafa. Miongoni mwa waliom-support ni Kitwana Kondo nao wakakumbwa na mfadhaiko, lakini hakufa aliendelea kuishi.
Ni kwa uchache wa kile nachoweza kumbuka na kuandika, wapo wenye mengi ya kueleza. I stand to be corrected.
I will damned if not!Mkuu, kama what you are insinuating(in red) holds true then the next president of URT is MIZENGO KAYANZA PETER PINDA.
........Na tuache hivyo kuna waziri gani ambaye alikuwa hakombi (kufisadi) wakati wa Mwinyi? Wameiba woote lakini aliyeonekana ni Malima tu - muislaam mwenye siasa kali! .............
Kikwete alifika top three by accident mno
Ilipofika 1995 idadi kubwa ya waliojitokeza kugombea kwa CCM walikuwa wakristo na kulikuwa na uvumi kuwa CCM wana utaratibu wa kubadilishana kwamba amemaliza mwinyi Muislam, anaekuja atakuwa mkristo.
Nyerere alisikia hiyo habari akaikemea mno,akasema rais hata akiwa muislam tena na tena na tena ili mradi anafaa
But waislam wa CCM wengi hawakuchukua fomu za urais. Siku ya mwisho ya kuchukua fomu, ikawa muislam ni mmoja tu Kighoma Malima na kwa kuwa Malima alikuwa na kashfa za kodi asingefika mbali..
So Nyerere alienda kumwambia Kikwete achukue fomu za uraisi ili chama kisionekane kimewatenga waislam au kuna mfumo wa kubadilisha uongozi kidini...
So Kikwete kwa kuwa muislam pekee, akaachiwa jina lake mpaka top three ingawa wote walikuwa wanajua hatapewa urais....na kuna taarifa kuwa alishinda kura mara ya pili pia... sababu kubwa alionekana ni too inexperienced
Mkuu umesema Malima alihusishwa na NRA chama chenye msimamo mkali cha kiislaam. Hivi kweli unaweza kunipa mahusiano ya NRA na Uislaam? na vitu gani walivyokuwa wakipigania (sera na Ilani) na kadhalika. Binafsi nimeyasikia sana haya madai na ningependa sana kupewa historia ama picha nzima ya chama cha NRA, uongozi wake sera za na mwisho uhusiano baina ya Malima na hicho chama cha kidini...Na labda mtu anipe investigative report inayoonyesha Kighoma Malima alikuwa both Muislaam mwenye siasa kali pia aliharibu wizara ya elimu na fedha..
Mkuu wangu hivi huoni kama kila kitu kinajirudia rudia - dejavu..
Dr.Slaa hadi kufikia mwaka 2009 alikuwa hero wa kila mtu, Sii waislaam wala wakristu lakini siku aloonesha nia yake ya kugombea Urais ndipo Upadre wake ulipotangazwa na nia mbaya ya Chadema katika kuupiga vita Uislaam simply 'because JK ni Muislaam.. Sasa habari kama hizi zitakwenda hadi kwa vijana watoto zenu ambao watakuja hadithia jinsi Dr.Slaa alivyokuwa mdini pamoja na kwamba hakuna hata siku moja amezungumzia Uislaam na Ukristu ila kosa lake ni kuikosoa serikali ya CCM..Malima pia alikuwa one of the best of ministers hadi siku alipozungumzia hali ya elimu nchini kukikosoa chama tawala.
Na mchezo huu umechezwa kwa viongozi woote walijaribu kukikosoa chama tawala toka Malecela ambaye alizushiwa hadi kuhama dini kuingia Uislaam na ati anaitwa Jumanne.. kila alojaribu kukisaliti chama au kuweka upinzani mkubwa na chama tawala Udini ulitumika kumdhoofisha...
Na lazima mkuu wangutukubali kwamba marais huandaliwa, hizi habari za kufikiria kwamba mtu unaweza tu kuibuka mshindi na kuwa rais wa nchi kwa kupitia demokrasia ni kuzidanganya nafsi zetu. Na wote hawa toka kina Kolimba, Malima, Mwaikambo na wengineo wameondolewa kwa sababu they knew too much of the system na siku walipojaribu kuhama ndio walijichimbia kaburi lao.. Na nitasema tena hakuna mtu anaweza kushika madaraka ya Urais kama hayupo ktk system. Viongozi huandaliwa na mara zote lazima kuna mahusiano mkubwa na vyombo vya usalama. Nani huwaandaa kwa tanzania kusema kweli sijui ila nafahamu kwamba lazima rais aandaliwe na akubalike na system.
Nitaendelea kusema tu kwamba, habari zoote zinazohusiana na udini ni habari ya kutunga ili kuogopesha wananchi. Tanzania hatuna hofu ya Ukabila na hakuna dalili za machafuko ya kijamii isipokuwa kwa kupitia DINI..Hapa ndipo pekee siasa za majitaka zinaweza kupata nguvu ya kuwajaza hofu (fear) wananchi..Nothing scares us most kama vita, na hakuna sababu nyingine tunayohofia zaidi ya Udini. Na CCM are masters wa kupandikiza mbegu za Udini kwa sababu haiwezekani NRA wakawa waislaam wenye siasa kali, CUF ni chama cha waislaam halafu Chadema leo ndio chama cha Wakristu - What a coincidence!
Nawashukuru kwa insight waungwana.Inavyoonekana tumegawanyika makundi mawili,moja likiamini kuhusiana na hayo ya kina Malima,najingine lisiloamini.Ndugu Mkandara,ni kweli habari hizi zilikuwepo kwenye magazeti tena yanayoheshimika enzi hizo.Mnyamahodzo said:Kwenye nyekundu kuna uzi mmoja ulikuwa ukiendelea wiki kadha zilizopita waweza tafuta ukapata ilikuwa kuwaje na kwanini ilivuma maramoja kisha baadaye kupotezewa kwa Mzee JSM kuitwa Jumanne.Kwenye bluu, wako wanaosema Kighoma Ali Malima, alikuwa na back-up ya kundi fulani la waislamu ambao walitaka rais atakayefuata baada ya Mzee Mwinyi awe muislamu. Huyu jamaa alikuwa ni mdini kwelikweli. Anatajwa kuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakishadidia kichini-chini suala la Zanzibar kujiunga na OIC. Baada ya Kibona kama Waziri wa fedha kufariki, yeye ndiye aliyepewa nafasi hiyo. Akiwa madarakani akaanaza kukomba pesa kidogo-kidogo lakini kikubwa akawa anaficha ughaibuni. Strategically, kwamba atazitumia kwa kampeni. Alipokosa nafasi CCM akachomokea NRA. Akazikumbuka ngawila zake ughaibuni. Alipokwenda zifuata, the perfect thing was done, account ikawa imefungwa na Serikali ya Tanzania. Jamaaa akapata mfadhaiko/mshituko basi akafa. Miongoni mwa waliom-support ni Kitwana Kondo nao wakakumbwa na mfadhaiko, lakini hakufa aliendelea kuishi.Ni kwa uchache wa kile nachoweza kumbuka na kuandika, wapo wenye mengi ya kueleza. I stand to be corrected.
Mkuu Mkandara,
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba raisi huandaliwa. Kwa kawaida raisi mmoja tu akisha ingia madarakani basi kuna kundi limepanga kutoa raisi ajae. Kwa hiyo ni process inayoenda mbali zaidi na siku tu form za chama zinapo tangazwa. Kama ni hivyo basi JK tunabidi tukubali kuwa ni mwanasiasa hodari (kuwa mwanasiasa mzuri siyo lazima uwe kiongozi mzuri). kwa sababu 1995 yeye ndiyo alikua favorite na 2005 akachukua ushindi.
Ukweli ni kwamba JK kajiandaa tokea ni mdogo kuja kuwa raisi tokea mahusiano aliyo tengeneza UDSM, jeshini na kwenye chama. Tokea mwanzo alikua na nia ya uraisi na akajiwekea mazingira ya kuuchukua na ukweli ni kapata. Mimi naamini system nzima siyo inayo panga nani awe raisi bali hata system yenyewe ina vikundi mbali mbali. Kundi la JK lilijipanga vizuri na nilitambua kuwa kati ya JK ndiye electable kwa hiyo yeye atashinda na wengine kuchukua nafasi zilizo baki. Hata ukiangalia watu wenye cheo sasa ni watu wamefahamiana at a personal level na JK muda mrefu.
Swali langu lakini ni je nani alimuandaa JK kuja kuwa raisi? What was the force behind him? Who were the people behind him? Na kama tokea 1995 ilijulikana JK ana nia na uraisi makundi mengine yalishindwaje kudhibiti kundi la JK? Na hii ni nje ya topic kidogo lakini nani alikua mtu wa Mkapa 2005?
Mkuu,wakati hata mimi nasubiri Jasusi akujibu.Naamini pia kuwa Mkapa was single handedly been chosen by mwalimu.Kama si mwalimu,Mkapa asingechukua nchi.Mkuu Jasusi,
Hili ni swali tu. Je unafikiri Mkapa alikua accidental president? Kwa maana inaelekea majority 1995 walimtaka JK ila Mkapa kwa kupendwa na mtu mmoja tu ndiyo akapata uraisi. Did JK deserve to win the 1995 presidency? Na je unadhani sasa kundi la JK linamuandaa nani kuwa raisi?
Mkuu,wakati hata mimi nasubiri Jasusi akujibu.Naamini pia kuwa Mkapa was single handedly been chosen by mwalimu.Kama si mwalimu,Mkapa asingechukua nchi.
Alibadilika baada ya mwalimu kufa mkuu.Yaani ndo mnafiki wa kwanza.Kina Jasusi,Joka Kuu na Mkandara watatueleza vizuri yale wanayokumbuka kama wanaweza.
Mimi kuna kitu kimoja kina nitatiza kuhusu Mkapa. Mimi naamini Nyerere hakua mtu wa kukurupuka. Kama alimchagua Mkapa naamini kabisa Nyerere alidhani anafaa. Je Mkapa ni alikua anaficha makucha yake au kweli alikuwa "Clean" akaja kubadilika baadae?
Mkuu DSN,
Nashukuru sana kwa uchambuzi wako. Hivyo unavyo sema vina shababiana sana na mtiririko wa matokeo. Nina swali moja. Kwa uelewa wangu (naweza nika sahihishwa) ni kwamba Mkapa alikua na mtu wake 2005. Je kitendo cha Mkapa kumuachia JK apite ni kutambua kwamba JK ndiyo alilkua mshindi halali wa 1995?
Ila JK namkubali kwa uwanasiasa na namsifu kwa kitendo cha kusubiria patiently kwa miaka kumi. He knows the political game. He knew what he wanted and he worked for years to get it. Sidhani kama JK kawa raisi kibahati. It was a sequence of calculated moves.
Unafikiri na doubt unachosema wewe? hapana mkuu ndio uandishi wangu kupinga hizi tuhuma na uvumi ambao huenezwa na mtandao wa CCM... wakati ule wa Nyerere walimtumia sana Paul Sozigwa na kama sikosei magazeti yote na radio zilikuwa chini ya serikali...Nawashukuru kwa insight waungwana.Inavyoonekana tumegawanyika makundi mawili,moja likiamini kuhusiana na hayo ya kina Malima,najingine lisiloamini.Ndugu Mkandara,ni kweli habari hizi zilikuwepo kwenye magazeti tena yanayoheshimika enzi hizo.
Mimi kuna kitu kimoja kina nitatiza kuhusu Mkapa. Mimi naamini Nyerere hakua mtu wa kukurupuka. Kama alimchagua Mkapa naamini kabisa Nyerere alidhani anafaa. Je Mkapa ni alikua anaficha makucha yake au kweli alikuwa "Clean" akaja kubadilika baadae?
Hapo sasa!... Na kama Demokrasia ingekuwa inafanya kazi kihaki 2010 Dr.Slaa angechukua ushindi kiulaini lakini tazama nguvu iliyowekwa kuzuia matokeo.Mkuu Mkandara,
Nakubaliana na wewe kabisa kwamba raisi huandaliwa. Kwa kawaida raisi mmoja tu akisha ingia madarakani basi kuna kundi limepanga kutoa raisi ajae. Kwa hiyo ni process inayoenda mbali zaidi na siku tu form za chama zinapo tangazwa. Kama ni hivyo basi JK tunabidi tukubali kuwa ni mwanasiasa hodari (kuwa mwanasiasa mzuri siyo lazima uwe kiongozi mzuri). kwa sababu 1995 yeye ndiyo alikua favorite na 2005 akachukua ushindi.
Ukweli ni kwamba JK kajiandaa tokea ni mdogo kuja kuwa raisi tokea mahusiano aliyo tengeneza UDSM, jeshini na kwenye chama. Tokea mwanzo alikua na nia ya uraisi na akajiwekea mazingira ya kuuchukua na ukweli ni kapata. Mimi naamini system nzima siyo inayo panga nani awe raisi bali hata system yenyewe ina vikundi mbali mbali. Kundi la JK lilijipanga vizuri na nilitambua kuwa kati ya JK ndiye electable kwa hiyo yeye atashinda na wengine kuchukua nafasi zilizo baki. Hata ukiangalia watu wenye cheo sasa ni watu wamefahamiana at a personal level na JK muda mrefu.
Swali langu lakini ni je nani alimuandaa JK kuja kuwa raisi? What was the force behind him? Who were the people behind him? Na kama tokea 1995 ilijulikana JK ana nia na uraisi makundi mengine yalishindwaje kudhibiti kundi la JK? Na hii ni nje ya topic kidogo lakini nani alikua mtu wa Mkapa 2005?