James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,286
Aiseee ni keshoNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Aiseee ni keshoNimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Huyu kidogo ana vitu viko straight, siyo kama akina Tumia akiliKumbe ni huyu huyu Ninja? Au yupo kwenye kamati ya Roho Mbaya?
Ukimaliza kushangaa shangaa hapo soma hapaAiseee ni kesho
Noma sana mzeeAisee
Sasa tufurahishe kwa utabiri mwingineNiliandika hivi mwaka 2017. Sikujua maana halisi ya maono niliyoona.
SASA NIMEELEWA.
Ngoja ni Rudi kwenye uzi wakeKwa utabiri huu naona kweli kinaweza kikanuka tarehe 9
naona kila usemalo ni kweli 🤔🤔Nadhani imekamilika sasa au?
Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
Ikisemwa eti vijana wengi wa ki kristo sijui ina maana ipi kwamba Wa Kristo now ndo wapo kwenye Mapambano na serikali? Je ni wao pekee ndo wana pata madhira ktk ukandamizaji wa wana Siasa au?Ukimaliza kushangaa shangaa hapo soma hapa
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna...
- Ninja
- kamati tahadhari taifa ulinzi ulinzi na usalama usalama usalama wa taifa
- Replies: 222
- Forum: Jukwaa la Siasa
Muda sio rafiki..Ikisemwa eti vijana wengi wa ki kristo sijui ina maana ipi kwamba Wa Kristo now ndo wapo kwenye Mapambano na serikali? Je ni wao pekee ndo wana pata madhira ktk ukandamizaji wa wana Siasa au?
Ni hivi labda ni kweli tetesi zile akiwa Rais wa dini nyingine anapigwa vita na watu wengi wa dini tofauti na yake ?
Au tuseme kuna baadhi ya nyama vya Siasa navyo vinajinasibisha na dini zao kulingana na nature ya uongozi wao wa juu, ref Chadema kwa sasa na kwa zamani ilikuwa CUF
Nyie mtaichoma nchi yenu kwa upumbavu wenu iwe Chama Tawala, wapinzani, Makanisa na Misikiti na ndo akili za mwafrica zilipoishia badala kuleta umoja na utengamano na ustawi ,Ref: nchi kama Singapore
Mwafrica bado anaendeshwa na sababu nyingi za nje kuliko anavyotakiwa kuwa kwa Dunia ya Kisasa
Mkimalizana kuuana kwa mambo ya Siasa afu mrudi muuanae ki Dini ,baadae mkianza kukua kwenye ufahamu ndo mtakaa sawa na itachukua miaka mingapi itategemea nyie mnataka kukua haraka au la ktk ufahamu wenu . Uchaguzi ni wenu