Awamu (miaka mitano au chini ya hapo) inaendena na rais aliyepo. Awamu ya 5 ya Magufuli imeisha baada ya kufa. Hii ni awamu ya 6 ya rais wa 6 Samia na muhula wake wa kwanza kutawala.
Magufuli angeshindwa kwenye uchaguzi mwaka jana ingekuwa mwisho wa awamu yake ya 5, ingeanza awamu ya 6 na muhula wa kwanza wa rais ambaye angeshinda.
Nyerere alikuwa rais wa awamu ya kwanza.na.mihula zaidi ya.miwili. Waliofuata walitawala mihula miwili tu kulingana na katiba isipokuwa Magufuli ambaye katawala muhula mmoja na miezi minne na siku 12. Upo hapo?