Mfufua Nyuzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 439
- 427
Baada ya miaka 4 unazungumziaje utawala wake?
...(?)🤔Katika hiyo safu yake Makonda atakuwa waziri mkuu
Kwa nini asimalize? Tunaye mpaka 2030. Omba uzima tuMimi sijui hivi huyu samia atamalizia miaka iliyobaki.?
Umeliweka vizuri hili la mihulaAwamu (miaka mitano au chini ya hapo) inaendena na rais aliyepo. Awamu ya 5 ya Magufuli imeisha baada ya kufa. Hii ni awamu ya 6 ya rais wa 6 Samia na muhula wake wa kwanza kutawala.
Magufuli angeshindwa kwenye uchaguzi mwaka jana ingekuwa mwisho wa awamu yake ya 5, ingeanza awamu ya 6 na muhula wa kwanza wa rais ambaye angeshinda.
Nyerere alikuwa rais wa awamu ya kwanza.na.mihula zaidi ya.miwili. Waliofuata walitawala mihula miwili tu kulingana na katiba isipokuwa Magufuli ambaye katawala muhula mmoja na miezi minne na siku 12. Upo hapo?
Mkuu,Nimeona maono mama Samia Suluhu akimwapisha Waziri Mkuu mpya.
Nimejiuliza sana maana yake ni nini. Na sijawahi kuona maono hivi yasitokee. Au 2020 ni zamu ya Rais mwanamke?
... ndio maana roho yake imekuwa ikihangaika!Mkuu,
Umeshindwa vipi kuona maono ya mauaji yaliyotokea kabla ya Samia kuapisha Waziri Mkuu mpya?
Umeona ule uzi wake mpya?Mmmh wewe jamaa hauvumi lakini umo...
Jamaa alifanya Betting ikakubali aiseeMkuu,
Umeshindwa vipi kuona maono ya mauaji yaliyotokea kabla ya Samia kuapisha Waziri Mkuu mpya?
Pandikizeni tu chuki za kidini,mtavuna matunda yakeUmeona ule uzi wake mpya?
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna...
- Ninja
- kamati tahadhari taifa ulinzi ulinzi na usalama usalama usalama wa taifa
- Replies: 222
- Forum: Jukwaa la Siasa
Atufanyie na ya kifo cha Samia kitakuwa lini nayo.Jamaa alifanya Betting ikakubali aisee
Nimeona ikabidi nije niufufue huu.Umeona ule uzi wake mpya?
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna...
- Ninja
- kamati tahadhari taifa ulinzi ulinzi na usalama usalama usalama wa taifa
- Replies: 222
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kumbe ni huyu huyu Ninja? Au yupo kwenye kamati ya Roho Mbaya?Umeona ule uzi wake mpya?