Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Tanzania kuwa na Rais mwanamke?

Hatuwezi kuwa na rais na makamu wake wote dini moja!!!
Makamu ni ndugu Willium Lukuvi na Pm atabaki Majaliwa KM. Maona ya waziri mkuu mpya hapo kidooogo ndoto ilivamia na upande wapili....Ova
Shein na Bilal walikuwa wa mhe Kikwete je ni dini tofauti hizo? Taratibu basi mkuu
 
Sio kumi ni tisa tu hawezi gombea tena kwa mijibu wa katiba rais anatakiwa akae mihula miwili tu na sio zaidi
Sasa kwa Sasa si anamalizia muhula wa mtangulizi wake...je Magu angefariki labda amebakiza mwaka mmoja je?? Ulisema muhula mmoja kwa katiba ya Tanzania ni miaka mitano..Sasa mama atatawala miaka mitatu na miezi Kama Saba ili kukamilisha muhula wa Magu. Itakuwa haijatimia mitano...hapa imekaaje mkuu.
 
Kwa kweli Huyu mama nilikuwaga namuonea huruma Sana...maana nadhani Kuna vtu alikuwa hakubaliani navyo ila inabidi tu akubali kishingo upande...atafanyeje Sasa...Mungu bwana...
Bora iwe hivyo ili asije msumbua Rais kama akimuacha kuwa mkuu wa serikali maana VP sio dili unless yatokee kama yaliyotokea
 
Sasa kwa Sasa si anamalizia muhula wa mtangulizi wake...je Magu angefariki labda amebakiza mwaka mmoja je?? Ulisema muhula mmoja kwa katiba ya Tanzania ni miaka mitano..Sasa mama atatawala miaka mitatu na miezi Kama Saba ili kukamilisha muhula wa Magu. Itakuwa haijatimia mitano...hapa imekaaje mkuu.
Hapo ngoja wajuzi waje au kama vipi tukafunue katiba tujioneee
 
Back
Top Bottom