Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Wakuu tuache kufikiria tawala za kijeshi.Mimi nadhani tupate raia mmoja tu mzalendo mwenye vision na uchungu wa kweli na maendeleo ya nchi hii.Hawa watu wapo isipokuwa bado hawajapewa nafasi au wanabaniwa au wanavurugwa na system isiyoitakia mema nchi.
Embu tuchukulie mfano tumpe urais Pombe Magufuli leo hii,hivi hatutaweza kusonga kweli?
Usikute ndo yeye mwenyewe alikuwa akijipigia debe kwamba ndiye Rais Mtarajiwa, Maana sauti kama ya mwendazake hii. Ukijibu hii post nitajuwa haikuwa jiwe bali ni wewe mtu mwingine.
 
Hiyo strong institution iko nchi gani? Au Russia ambako Putin anajiongezea muda wa kutawala? Au China ambao wameondoa ukomo wa kuongoza rais wao?
au Marekani ambapo Trump analazimisha kujenga ukuta na ukaanza kujengwa ana kuja rais mwingine anapuuzia,au Trump pale anazuia raa wa nchi fulani wasikanyage,anaingia mwengine anaondoa hiyo marufuku.
Nieleweshe kiongozi ni nchi ipi.
Ukiambiwa inahitajika siyo lazima kuwepo na perfect institutions au kuiga madikteta siyo sawa. Trump kwa mfano kitendo kile kimempeleka mahakamani!. Akina Urusi na China hivyo ni vidikteta vinavyojulikana.
Hatutaki kupata watu ambao hawajali kujenga taasisi ya urais na badala yake wao wanakuwa ndio taasisi na rais asiyeheshimu hata katiba aliyoapa kuilinda.
Awamu ya tano ilikuwa somo tosha la haya.
SSH akipewa taasisi imara atakuwa rais bora Africa. Anaonekana kutaka kuheshimu utawala wa sheria ambao haujakuwepo. Hatuhitaji mafyatu! tunahitaji watu makini kwenye taasisi makini.
 
10 Years later... Rais Magufuli ni raisi katili nchi haina furaha 😂😂😂 kummmae zenu Watanzania! Uliyotaka yote ameyafanya bila kupepesa macho ila mnamuita raisi dikteta
Wabongo we waone tu! 5-10yrs later utasikia...haya angeweza Magufuli tu...laiti Magufuli angekuwepo... Magufuli ndo alikuwa Rais na bla bla kibao.
Ponapona yenu watanzania wenzangu Mungu aibue mtu mwingine mwenye umagufuli kiasi fulani vinginevyo mtalia kilio kisichoisha na kusahaulika Kwa muda mrefu.
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
Hii point ilikuja kuwa kweli
 
Ukiambiwa inahitajika siyo lazima kuwepo na perfect institutions au kuiga madikteta siyo sawa. Trump kwa mfano kitendo kile kimempeleka mahakamani!. Akina Urusi na China hivyo ni vidikteta vinavyojulikana.
Hatutaki kupata watu ambao hawajali kujenga taasisi ya urais na badala yake wao wanakuwa ndio taasisi na rais asiyeheshimu hata katiba aliyoapa kuilinda.
Awamu ya tano ilikuwa somo tosha la haya.
SSH akipewa taasisi imara atakuwa rais bora Africa. Anaonekana kutaka kuheshimu utawala wa sheria ambao haujakuwepo. Hatuhitaji mafyatu! tunahitaji watu makini kwenye taasisi makini.
Unachokitaka siyo rahisi kukipata katika dunia iliyojaa wapigaji.
mfano Kenya wamejitahidi kuwa na taasisi imara matokeo ya rais na maamuzi ya rais yanapingwa mahakamani,hebu angalia rushwa ndo imeshika hatamu.
kinachohitajika ni viongozi wazalendo wenye uchungu na nchi zao, mengine ni mapungufu ya kawaida ya binadamu.
 
Basi utakuwa hujijui! Kiongozi umpendekeze 2009 ukivutiwa na utendaji wake 2019 umkatae kwa nguvu zote Kwa utendaji ule ule...???!!!

Wanaokutegemea nawahurumia! (kama wapo lakin)
Unajua hata enzi za ujana wangu enzi nadeti na mazaako, yeye ndo alijua kafanya kosa kudeti na bazazi, ndo akaenda kwa dingi yako. Kwahiyo kubadili mawazo ni jambo la kawaida sana...

BTW hakuna sehemu niliyotaka mwendazake awe prezidaa. Mi nlitaka awe awe anapokea maagizo toka kwa shujaa Mtikila...

Nioneshe nilipopendekeza dikteta awe rais nami ntakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai
 
Back
Top Bottom