mkuu kuongoza wabongo yataka moyo sana.K
Kweli kuongoza wabongo ni kama kuongoza maiti! Huwa hazijitambui wala hazina shukurani ni mzobe mzobe tu
mkuu kuongoza wabongo yataka moyo sana.K
Kweli kuongoza wabongo ni kama kuongoza maiti! Huwa hazijitambui wala hazina shukurani ni mzobe mzobe tu
Magufuli hakuwafanya chochote wawekezaji. Cha maana alichofanya ni kuwapigia magoti sirini.Hii point ilikuja kuwa kweli
Serikali ilihamia Dodoma, Wapinzani waliufyata, Wawekezaji mabeberu walitimka, Biashara ziliporomoka, mishahara na vyeo vilizuiliwa kupanda na tuliachiwa misingi ya miundombinu tuiendeleze.Baada ya kumpata fyatu nini kilitokea mkuu?
Nimekutukana tusi kubwa sn sema hujasikiaSerikali ilihamia Dodoma, Wapinzani waliufyata, Wawekezaji mabeberu walitimka, Biashara ziliporomoka, mishahara na vyeo vilizuiliwa kupanda na tuliachiwa misingi ya miundombinu tuiendeleze.
Mkuu,Kiongozi yeyote mwenye maono makubwa lazima adhihirike kama Fyatu kwa sababu maono makubwa hapewi kila mtu. Acha watu wamubeze tu Magufuli lakini huyu mwingine baada ya miaka 4 ndo wataona pengo kati ya Uongozi wa maono na Uongozi mazoea., Mbona si muda mrefu watataka fyatu mwingine...
Alitabiri akafanikiwa lkn baadaye hata mtoa post alianza majungu ya kupindua Kaulinilidhani hii post imetoka leo 2021 kumbe ni 2009 sawa.nadhani majibu ya post hii ameshayapata mtoa post
Hali ikizidi kuwa mbaya huku mafisadi wakirudi vizuri kwenye chati za town utaskia tu 😅😅😅 ni swala la muda!!!Mkuu,Kiongozi yeyote mwenye maono makubwa lazima adhihirike kama Fyatu kwa sababu maono makubwa hapewi kila mtu. Acha watu wamubeze tu Magufuli lakini huyu mwingine baada ya miaka 4 ndo wataona pengo kati ya Uongozi wa maono na Uongozi mazoea.
Miaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...La uliandika kama nabii,lakini nabii hana heshima kwao,kaenziwa UN,huku nyumbani na wengine wakipambana kupiga kiwi nyeusi kwenye reputation yake.
Wenye masikio tulisikia,wenye macho wakaona ndege alizonunua tangu ziyeyuke miaka kadhaa tangu enzi za Nyerere..
Mikataba ya madini kaifumua pamoja na vitisho vyote.
Corona akasema hakuna kuogopa tujifunze kuishi nayo kuishi nayo kama magonjwa mengine,akazifungulia shule na vyuo na maisha kuendelea kama kama kawaida.
wakati wazungu wakijifunza kuishi nayo ili maisha yaende,leo huku ndo tunatishwa tuogope corona badala ya kuogopa Malaria inayoua kila siku.
RIP Jiwe,ila tulikuelewa sana.
Taasisi siyo robot...Ina actors...Kama actors wote wamekuwa corrupted, hiyo taasisi inajengwaje?Ukiambiwa inahitajika siyo lazima kuwepo na perfect institutions au kuiga madikteta siyo sawa. Trump kwa mfano kitendo kile kimempeleka mahakamani!. Akina Urusi na China hivyo ni vidikteta vinavyojulikana.
Hatutaki kupata watu ambao hawajali kujenga taasisi ya urais na badala yake wao wanakuwa ndio taasisi na rais asiyeheshimu hata katiba aliyoapa kuilinda.
Awamu ya tano ilikuwa somo tosha la haya.
SSH akipewa taasisi imara atakuwa rais bora Africa. Anaonekana kutaka kuheshimu utawala wa sheria ambao haujakuwepo. Hatuhitaji mafyatu! tunahitaji watu makini kwenye taasisi makini.
Kuhusu mishahara, JPM angekuja kuiongeza mara hata 20 kwakua alikuwa si mbabaishaji, alijua uwezo wa nchi bila kuweka misingi imara ya uchumi haiwezi kukidhi haja ya waliowengi....Kama miradi yote aliyoibuni angeifikisha misho mishahara ni kitu kidogo sana...Tatizo tulitaka awe kama ndiyo Mungu na afanye muujiza ndani ya muda mfupi a solve matatizo yote hata kama sote tunajua uwezo wa nchi zetu una ukomo kwakua kwanza hatuna nguvu za kidola kuwabishia wababe wa dunia hii....Hata hivyo yeye alithubutu kubisha na ishara pekee ni kutokwenda kwao kuwaomba hiyo pia ni legacy...Amekufa kama Mkwawa hajawahi ya rudia matapishi yake....Serikali ilihamia Dodoma, Wapinzani waliufyata, Wawekezaji mabeberu walitimka, Biashara ziliporomoka, mishahara na vyeo vilizuiliwa kupanda na tuliachiwa misingi ya miundombinu tuiendeleze.
Tushajifunza tayariMbona si muda mrefu watataka fyatu mwingine...
SureMiaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...
Huwezi kuongea kuhusu barabara ukamwacha JPM pembeni, na tukumbuke ni yeye aliyesema hadharani tutaendesha taxi kutoka Mtwara mpaka Bukoba...Ile ilani aliyopewa pamoja na kuwa si yeye aliyoiandika kila sentensi na ahadi aliyoisema aliitekeleza.... Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania vitu kweli vikaonekana kwa macho na ahadi kutekelezeka japo wengi tulizoea maneno ya kisiasa ambayo tuliaminishwa hata yasipotekelezwa hakuna wa kuhoji...
Pamoja na yote hayo bado kuna watu wanatamani hizo physical foot prints zake labda ingefaa radi izipige ili tu waonyeshe kuwa hakufanya kitu.....Thats how wicked a humanbeing is;
Neno la Mungu linasema..."The heart is deceitful above all things, and desperately wicked: who can know it?" "But those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man...
Watanzania time is a good healer, lets wait and see...Ipo siku nayo yaja tutamkumbuka kwa machozi na wala hatoweza kutusikia...Rest in Power Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
Hata kama ni ushabiki punguza...Thornton ange koki ndege yake mpaka bongo?Magufuli hakuwafanya chochote wawekezaji. Cha maana alichofanya ni kuwapigia magoti sirini.
Yeye aliwamudu kina Manji tu na Mo.
Kuhusu Acacia ni kama alifanya zero, mwishowe akarudi kule kule kwa kuepuka aibu.
Acacia ikaondolewa DSE, zile hisa walizokuwa wanauza ndio ikapewa serikali kupitia kampuni yake ya Twiga. Makinikia mpaka leo bado wanasafirisha. Dhahabu pure ndio kabisaaa haikuwahi kuzuiliwa.
Magu mnamkuza tu kwasababu alijua vizuri kutumia media.
Kwa jinsi alivyokuwa na chuki nzito na Lissu, lakini Lissu alienda kujificha ubalozi wa Ujerumani hapa hapa, na tena hao mabeberu wakamsindikiza Lissu mchana kweupeee akapanda ndege kwenda Belgium huku serikali ikiangalia tena wakati ambao ana kesi sita ikiwemo ya kuvunja masharti ya dhamani.
Alichokuwa anafanya Magu ni kuongelea pembeni tu .....Mabeberu mabeberu, wakijitokeza kimyaaaaa mkia nyuma.
Mimi ni muumini wa matokeo, to me mbwembwe zote alizofanya aliishia kuwa LOOSER tu.Hata kama ni ushabiki punguza...Thornton ange koki ndege yake mpaka bongo?
Acha utani, he was a man and a half....Yes hakuwa na hizo power za kuwatia adabu lakini atleast alikataa kujiona mnyonge na ndiyo maana hakwenda kuwapigia magoti...
JPM is my hero and has demonstrated kuwa vile ambavyo tulidhani ni vyakufikirika kwa mwafrica vinawezekana kama kuna uthubutu!
Looser is a name anybody can utter it....Kwahiyo hii imfrastructure yote aliyoiacha unaona ni hadithi ama?Mimi ni muumini wa matokeo, to me mbwembwe zote alizofanya aliishia kuwa LOOSER tu.
Muda wote alikuwa anaishi kwa uongo, ubabe, vitisho, rushwa na propaganda huku serikali akiiendesha kwa mikopo na dhulma.
Magu alikuwa msimamizi mzuri sana na ndio maana wakati wa awamu ya 4 alifanya wonders, ika aliyempa madaraka ya maamuzi alikosea sana.
Umeongea vizuri sana mkubwa. Kula tanoKuna watu wana play victims...Tujiulize kama ingekuwa ni wewe na unajua kuwa kuna mamluki ambao wanataka kuku distract wakati wewe una time limit ungefanyaje?
Alii define democracy kwa namna ambayo siyo ile tunayoimbishwa, ina context yake. Japo in my opinion alienda to the extreme, pengine was justified hapa siwezi sema.
Hata hivyo hakupenda kupingwa hadharani ambayo ni weakness yake kuu na pengine aliichukulia personal na kuwawajibisha wahusika...Lakini je wako wapi watu ambao wakionekana ni confidant wake? Mbona hawakuthubutu hata kumwambia kwa faragha mzee hapo unaenda sivyo? Hawa ndiyo ambao naamini wanapaswa kulaumiwa...I could have told him point blank lakini ki faragha if I were to be one amongst....Hawa wapambe nuksi ndiyo mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa "watch out" Mwl Nyerere aliwang'amua akawawakwepa na kuamua wisely a good fate for him!
Hao ndiyo waswahili wa nchi hii. Hawana jemaLooser is a name anybody can utter it....Kwahiyo hii imfrastructure yote aliyoiacha unaona ni hadithi ama?
Ikowapo ile hali ya watu kulala chini hospitali, majengo ya halmshauri, masoko, meli, ndege, zahanati, shule wewe unaona ni hadithi siyo? Kwahiyo zile orodha zote ambazo zinaimbwa na picha kurushwa unaziona ni ndoto ama? Primary enrolment mwenzetu unaona ni tamthilia!
Shikamoo!