jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 25,034
- 22,581
Usikute ndo yeye mwenyewe alikuwa akijipigia debe kwamba ndiye Rais Mtarajiwa, Maana sauti kama ya mwendazake hii. Ukijibu hii post nitajuwa haikuwa jiwe bali ni wewe mtu mwingine.Wakuu tuache kufikiria tawala za kijeshi.Mimi nadhani tupate raia mmoja tu mzalendo mwenye vision na uchungu wa kweli na maendeleo ya nchi hii.Hawa watu wapo isipokuwa bado hawajapewa nafasi au wanabaniwa au wanavurugwa na system isiyoitakia mema nchi.
Embu tuchukulie mfano tumpe urais Pombe Magufuli leo hii,hivi hatutaweza kusonga kweli?