Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!
💀🤡 ... WELCOME INTO THE MAKING OF JIWE!
1623858088173.png
 
Miaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...

Huwezi kuongea kuhusu barabara ukamwacha JPM pembeni, na tukumbuke ni yeye aliyesema hadharani tutaendesha taxi kutoka Mtwara mpaka Bukoba...Ile ilani aliyopewa pamoja na kuwa si yeye aliyoiandika kila sentensi na ahadi aliyoisema aliitekeleza.... Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania vitu kweli vikaonekana kwa macho na ahadi kutekelezeka japo wengi tulizoea maneno ya kisiasa ambayo tuliaminishwa hata yasipotekelezwa hakuna wa kuhoji...

Pamoja na yote hayo bado kuna watu wanatamani hizo physical foot prints zake labda ingefaa radi izipige ili tu waonyeshe kuwa hakufanya kitu.....Thats how wicked a humanbeing is;

Neno la Mungu linasema..."The heart is deceitful above all things, and desperately wicked: who can know it?" "But those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man...

Watanzania time is a good healer, lets wait and see...Ipo siku nayo yaja tutamkumbuka kwa machozi na wala hatoweza kutusikia...Rest in Power Dr. John Joseph Pombe Magufuli!
Umenena ukweli

Umesema ukweli mtupu,lakini haihitaji huko mbele kumkumbuka.
Hata sasa yaani corona kwetu tuliuzoea kama mafua mengine,leo tunalazimishwa tuogope kana kwamba ni kitu kipya,hata kule walikuwa wanakufa sana wameshauzoea.

kama mabasi yameanza kutekwa kule Kigoma,Albino kuuawa kule Tabora,majambazi kurudi tena,haihitaji research kubaini.
 
Taasisi siyo robot...Ina actors...Kama actors wote wamekuwa corrupted, hiyo taasisi inajengwaje?

Nchi kama dola ya roma ni mwanzilishinwa unachokiita taasisi, je rushwa na umafia uliopo huko unaufahamu?

Alichokuwa anafanya hayati ni kujaribu kuweka misingi ambayo kama angebahatika angei cement kwa taasisi imara kama exit strategy yake....Tatizo kubwa alizungukwa na watu ambao walijivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali
Huyu tulie naye huyu ndiye anayeonyesha njia ya ujenzi wa taasisi imara tu! wengine wasanii na majizi tu! Mbwa mwitu alijichagulia nguchiro na mafisi wenzie
 
Huu uzi leo ni 2021 june Dkt john pombe Magufuli ameshafariki lakini sifa nyingi zilimlenga mtu wa aina yake ba baada ya yeye amekuja samia baada ya miaka 11 kama vile watanzania walivyotaka.

Hii nchi ipo na Mungu.
 
Unajua hata enzi za ujana wangu enzi nadeti na mazaako, yeye ndo alijua kafanya kosa kudeti na bazazi, ndo akaenda kwa dingi yako. Kwahiyo kubadili mawazo ni jambo la kawaida sana...

BTW hakuna sehemu niliyotaka mwendazake awe prezidaa. Mi nlitaka awe awe anapokea maagizo toka kwa shujaa Mtikila...

Nioneshe nilipopendekeza dikteta awe rais nami ntakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai
Wabongo wa Jf bana! Mkikamatwa silaha ni matusi 😂😂! Sawa tafuta na mengine mapya uyaporomoshe hapa roho isuziiike ufurahi
 
Labda unifundishe maana ya matusi. Sijaona nilipotukana...
 
Miaka yake 25 ya utumishi katika baraza la mawaziri ebu tuone kama kuna mtanzania ambaye anaweza kumfikia hata robo ya records alizojiwekea...

Huwezi kuongea kuhusu barabara ukamwacha JPM pembeni, na tukumbuke ni yeye aliyesema hadharani tutaendesha taxi kutoka Mtwara mpaka Bukoba...Ile ilani aliyopewa pamoja na kuwa si yeye aliyoiandika kila sentensi na ahadi aliyoisema aliitekeleza.... Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania vitu kweli vikaonekana kwa macho na ahadi kutekelezeka japo wengi tulizoea maneno ya kisiasa ambayo tuliaminishwa hata yasipotekelezwa hakuna wa kuhoji...

Pamoja na yote hayo bado kuna watu wanatamani hizo physical foot prints zake labda ingefaa radi izipige ili tu waonyeshe kuwa hakufanya kitu.....Thats how wicked a humanbeing is;

Neno la Mungu linasema..."The heart is deceitful above all things, and desperately wicked: who can know it?" "But those things which proceed out of the mouth come forth from the heart; and they defile the man...

Watanzania time is a good healer, lets wait and see...Ipo siku nayo yaja tutamkumbuka kwa machozi na wala hatoweza kutusikia...Rest in Power Dr. John Joseph Pombe Magufuli!

Very true.
 
Hata kama ni ushabiki punguza...Thornton ange koki ndege yake mpaka bongo?

Acha utani, he was a man and a half....Yes hakuwa na hizo power za kuwatia adabu lakini atleast alikataa kujiona mnyonge na ndiyo maana hakwenda kuwapigia magoti...

JPM is my hero and has demonstrated kuwa vile ambavyo tulidhani ni vyakufikirika kwa mwafrica vinawezekana kama kuna uthubutu!

Mkuu ukiongea hivi unatuumiza sana baadhi yetu.
Binafsi natamani bora hata Magufuli asingekua rais, inauma sana kupata mtu ambae alishaonesha kwa vitendo anao uwezo wa kusukuma issues halafu baada ya muda mfupi tu anaondoka.
 
Tunahitaji Rais mwenye maono ya kuthubutu kama Obama, mbishi na mbwatukaji kama Ahmedinajad, asiyetishiwa na wawekezaji kama Hugo Chavez, mwenye kuzungukwa na watu wenye uwezo kama Lula na mwenye mvuto kwa watu wa kawaida kama Zuma. Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kidogo (au sana kutegemea na kipimo) ambaye hatopiga magoti kwa kila mtu anayejiita "mwekezaji" na ambaye hatozungukwa na wenye kuimba sifa zake.

Tunahitaji Rais ambaye amefyatuka kama Mrema!!!!!!

Duh leo ni 2021 tangu maono ya mwandishi 2009
 
Kupanga mipango na Watanzania ni kupoteza muda

Awali kila mmoja tulikuwa tukikubaliana kwamba, Tungelipenda kupata Rais atayetupeleka mputamputa, baada ya kumpata, Sasa kila mmoja analia lia tu na huwezi kuwatambua tena iwapo walikuwa wakimaanisha kutaka mtu isiyocheka na nyani, mutu jasiri ambayo inaweza kudhibiti hata marais wastaafu na wake zao

Mtu isiyoogopa hata watu wa chama chake, mtu isiyoogopa kampuni za kidunia zilizo na mitaji mikubwa kuipita hata nchi yetu kwa makusanyo ya miaka nane

Hii inamaana, Wengi wa Wabongo ndio wanaupenda uwoga uwoga na wanapenda maisha ya starehe bila kuyatolea jasho, na ndio maana ofsi nyiingi zimejaa wapigaji, wabongo utamkuta kajenga nyumba nzuuuri ya mamilioni ya fedha, lakini pesa ya jasho lake iliyotumika hapo, Haifiki hata laki moja! zingine zoote ni za wizi!!

Sasa kama ni waoga, mlitaka Rais asiye muoga wa nini awafanyie nini sasa??

Pumbavu zenu
Ongeza volume ndg,

Tz nchi ya AJABU kupindukia, wengi wa watu wanafanya mishe za wiziwizi tu, kijana anapata kazi Leo baada ya mwaka anaiba ofisini, na jamii inampongeza ni mtu mjanja!!!
Watu wanaendesha propaganda tu mitandaoni kutetea njia zao na maslahi yao

Baada ya miaka kadhaa tutasikia mengine tena
 
Mkuu ukiongea hivi unatuumiza sana baadhi yetu.
Binafsi natamani bora hata Magufuli asingekua rais, inauma sana kupata mtu ambae alishaonesha kwa vitendo anao uwezo wa kusukuma issues halafu baada ya muda mfupi tu anaondoka.
Yaani!
 
Looser is a name anybody can utter it....Kwahiyo hii imfrastructure yote aliyoiacha unaona ni hadithi ama?

Ikowapo ile hali ya watu kulala chini hospitali, majengo ya halmshauri, masoko, meli, ndege, zahanati, shule wewe unaona ni hadithi siyo? Kwahiyo zile orodha zote ambazo zinaimbwa na picha kurushwa unaziona ni ndoto ama? Primary enrolment mwenzetu unaona ni tamthilia!

Shikamoo!
Kwahiyo sasa hivi wagonjwa hawalali chini ?

Miradi ambayo Magu aliianzisha kwa mikono yake ni SGR, ATCL na Stigler's Gorge ambayo kaiacha bado BILA BILA.
 
Lete story nhee!😂😂😂
 
Kwahiyo sasa hivi wagonjwa hawalali chini ?

Miradi ambayo Magu aliianzisha kwa mikono yake ni SGR, ATCL na Stigler's Gorge ambayo kaiacha bado BILA BILA.
Daraja la Busisi, Daraja la wami, Vituo vya afya nchi nzima, Stendi nzuri na za kisasa, karibu nchi nzima, Mji wa kiserikali Dodoma, Viwanja vya ndege, upanuzi wa bandari, Meli mpya kwenye maziwa yote Tz, Ni kwa nini asipewe jina la mji mpya pale Dodoma kuwa Magufuli City??
 
Yohana ameharibu kabisa nyika kila mahali palipokiwa pamestawi ni vilio,watu wameishi kama mashetani kama ilivyokuwa shauku yake.Mngemuwezesha kuwa mtawala wa milele kama mlivyotaka watu wangelimia mapengo na fizi kabisa na sio meno maana yote yangeng'oka
Pata picha tungefanikiwa kumwezesha miaka 15....Tungekuwa tumenyooka kama stari wa ruler....

Kwa tulivyokuwa tumelegea nadhani tumepata sindano za moto za kutosha tuharibu wenyewe sasa....Yohana alishatengeneza njia nyikani acha wapakwa mafuta waje kutupeleka Caanan
 
Tulikubaliana wapi??
Kama kila mmoja tulikubaliana hivyo wangejiamini na kuweka tume huru ya uchaguzi.
Kupanga mipango na Watanzania ni kupoteza muda

Awali kila mmoja tulikuwa tukikubaliana kwamba, Tungelipenda kupata Rais atayetupeleka mputamputa, baada ya kumpata, Sasa kila mmoja analia lia tu na huwezi kuwatambua tena iwapo walikuwa wakimaanisha kutaka mtu isiyocheka na nyani, mutu jasiri ambayo inaweza kudhibiti hata marais wastaafu na wake zao

Mtu isiyoogopa hata watu wa chama chake, mtu isiyoogopa kampuni za kidunia zilizo na mitaji mikubwa kuipita hata nchi yetu kwa makusanyo ya miaka nane

Hii inamaana, Wengi wa Wabongo ndio wanaupenda uwoga uwoga na wanapenda maisha ya starehe bila kuyatolea jasho, na ndio maana ofsi nyiingi zimejaa wapigaji, wabongo utamkuta kajenga nyumba nzuuuri ya mamilioni ya fedha, lakini pesa ya jasho lake iliyotumika hapo, Haifiki hata laki moja! zingine zoote ni za wizi!!

Sasa kama ni waoga, mlitaka Rais asiye muoga wa nini awafanyie nini sasa??

Pumbavu zenu
 
Mnataka kuambiwa kaeni na mavi yenu nyumbani?
Tupo wengi mkuu, hazina mvuto, unaweza sikiliiza halafu ukaichambuaaa ukakosa mnyumbuliko wa kile kililengwa!!

Nadhani wengi wa wafuatiliaji wanapata taabu sana kuelewa kinachomaanishwa!

mf jano, ni nini sasa kilikusudiwa kwetu vijana?
 
Back
Top Bottom