Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,555
41,066
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
 
Nashangaa wanavyosema hatuwezi kuwaahtaki wale mashetani, nashangaa sana, ni mkataba gani huo tusioweza hata kuwapeleka mahakamani wale maharamia walioingia mkataba na msaliti toka Zanzibar kwenda kutuuza wabara utumwani Dubai usioweza kushtakiwa..

Nasema hivi, wapeleke kesi mahakamani, hata kama kuna kiasi cha pesa tutakachotakiwa kuwalipa hao maharamia kwasababu ya makubaliano yao na huyu msaliti wetu..

Wacha walipwe, tumeshadaiwa na bado tunadaiwa vingi, na hilo la bandari liwe deni pia potelea mbali, kuliko tuache kizazi chetu kijacho kuendelea kubaki utumwani huku sisi tumezubaa tu, nasema hapana, mahakamani ni lazima.

Samia ni shetani alaaniwe na mawakala wake wote.
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule..
Kwa JPM, huo upumbavu ulikuwepo?
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule...
Rais Samia na Serikali Yako achana na huu mkataba,watu wamechagua kuwa maskini mnahangaika nao wa nini?

Umaskini wa akili na Mali ndio urithi Babu Yao aliwaachia na ujamaa wake..

Kama mwenyewe hakuona haja ya kuwatoa kwenye umaskini wewe ni nani Hadi uwaonee huruma ,acha wafe
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.
Screenshots_2023-06-16-09-05-34.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule...
Mtu akikuambia jambo la kijinga, na anajua wazi analokuambia ni jambo la kijinga, na wewe ukalikubali, anakudharau.

UTU WETU UMETEZWA, kwanza na Samia. Acha hao Dubai kwanza.

Samia kateza utu wa wananchi.

Hao Dubai ndio kabisa wanatuona sisi ni manyani.

Naomba mnisamehe sana.
 
Naona watu wanapiga tu kelele ilo pdf la mkataba silioni.

Wekeni basi hapa tulisome.
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
Chizi kweli ww
 
Lugha zisizo na Staha kama hizi ndizo mods wa Jf wanazipenda Kwa sababu zinaegemea mlengo wao wa upinzani ila Sasa ukiandika heading ya kumsifia Rais wanabadilisha 😁😁😁
 
Naona watu wanapiga tu kelele ilo pdf la mkataba silioni.

Wekeni basi hapa tulisome.
Mbona uliwekwa hapa jukwaani, hukuuona? Itabidi niupandishe kama mada inayojitegemea. Labda kwa vile unapandishwa, katikati ya habari, wengine wanapitwa.
 
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.

Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi halafu yeye awe na umiliki 0%?

Nani mwenye akili timamu atakubali etu abadilishe sheria za nchi kwa sababu ya mwekezaji mmoja?

Nani mwenye akili timamu atakubali, umpe mpangaji umiliki wa 100% ili achukue faida yote yeye pekee yake, halafu tena na kodi alipe pungufu ya wengine, wakati wenzake wote kwenye mali za asili wanatoa umiliki wa bure kwa Serikali wa 16%, wanalipa kodi 30%, wanalipa mrabaha, n.k. Yeye anapewa mradi ambao tayari kuna uwekezaji mkubwa, anakupa umiliki 0%, hataki kulipa kodi ya 30% (anataka alipe pungufu) ambayo wengine wanalipa, halipi mrabaha, apewe ardhi yoyote anayoitaka na fidia tulipe sisi (wakati wawekezaji wengine wote gharama ya fidia ya ardhi huwa wanalipa wenyewe), ana nini cha pekee mpaka apewe hayo yote?

Eti anawekeza dola 500m. Barrick kule Buly kwenye mgodi mmoja waliwekeza zaidi ya dola 600m. Dangote uwekezaji wa awali likuwa zaidi ya dola 700m. Bomba la gas zaidi ya dola 1billion. Wachina kule Liganga na Mchuchuma walisema watawekeza dola bilioni 7 (japo hawa nao ni wahuni wengine, mpaka leo hawajawekeza hata dola 1m). Tulimkataa mwekezaji wa uhakika Rio Tinto aliyetaka kuwekeza dola bilioni 3 kwa kudanganywa na Wachina kuwa watawekeza dola bilioni 7, kumbe ni ya maneno, nalo hilo ni uzembe wa Serikali.

Nayanukuu maneno ya Baba wa Taifa, Mwakimu Nyerere:

"Mtu akikuambia jambo la kijinga, na wewe ukakubali, anakudharau"

"Ukiwa mjinga, unaweza kuwa na almasi yako, halafu anakuja mtu na kipande cha chupa, anakuambia chukua hiki wewe, hicho ulichoshika ni chupa, chukua hii almasi, kwa kuwa wewe ni mjinga, unampa almasi yako, unachukua kipande cha chupa halafu unaenda unachekelea kama zuzu"

Waarabu wa DP wametufanya waafrika wa Tanzania ni mazuzu. Wanaona ule ubinadamu wetu wa kale uliofishwa, na kisha kufanywa bidhaa kama zilivyo nyanya au vitunguu, haujatutoka mpaka leo. Ndio maana kuna hizo tetesi za wabunge wale batili kununuliwa. Utu wao na utashi wao umefutwa na kugeuzwa kuwa ni bidhaa.

Kama DP watakuwa wamejirudi na kuwaona Watanzania ni binadamu kama walivyo wao, yaani wana akili na utashi, ule mkataba wa kishenzi utupwe. Majadiliano yaanze upya yakiwahusisha watu wenye weledi, maadili na wanaojitambua. Mbarawa na kundi lake, na wale wabunge bidhaa wasihusike kwa chochote.

Wakikishindwa hilo, waende zao. Japo bandari ni kichaka cha rushwa, na kama taasisi nyingine za umma zilivyo, ni mahali pasipo na ufanisi kutokana na ulegevu wa Serikali, kuna siku nchi itapata serikali imara iliyo thabiti, na viongozi thabiti, bandari na mashirika mengine ya umma, vitasimama na kufanya kazi stahili kwa namna istahiliyo.

Tatizo letu kubwa siyo bandari, siyo ATCL, siyo TANESCO, BALI NI UBOVU NA ULEGEVU WA SERIKALI, AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI MKUU. Na ubovu huu wa Serikali haujaanza wakati wa Rais Samia, umekuwepo wakati wote, na unaendelezwa mpaka sasa.
Mambo yashakuwa mengi hawa ccm ni sikio la kufa , we need to vote them out of their incompetent office
 
Lugha zisizo na Staha kama hizi ndizo mods wa Jf wanazipenda Kwa sababu zinaegemea mlengo wao wa upinzani ila Sasa ukiandika heading ya kumsifia Rais wanabadilisha
Lugha yenye staha ni ipi? Au ni ile ya mwizi kuitwa mtu anayechukua vitu visivyo vyake bila ya kupewa?

Sisi wengine hatujui kuzunguka, mwizi tunamwia mwizi. Mla rushwa hana jina jingine zaidi ya hilo. Matendo yanayofisha utu wa mwanadamu ni ushenzi. Mtu ambaye hakupigiwa kura kuchaguliwa na wananchi, na mahakama ikatamka wazi kuwa mtu huyo siyo mbunge halali, ni mbunge batili hata kama alitangazwa na kuapa, vyote, pamoja na kiapo chake, vinakuwa batili, na kwa vile ubatili ule ameupeleka bungeni na bunge likaukubali, na lenyewe linakuwa batili kwa sababu maamuzi yake yamechangiwa na watu batili.
 
Jf ni ya Wapinzani tukaneni mnavyoweza
 
Back
Top Bottom