TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Madame B nawe wa kununuliwa kiatu pia unajidai
wakati pesa natoa mimi, loh.

Huo Mkwara wa Ng'ombe kula nyasi lakini anatoa maziwa.
Bwana wako namchukua na hunifanyi lolote,
Sijali lolote.
 
Last edited by a moderator:
Nilichange namba ya simu ngoja nikupe hii mpya nitakusave charminglady voda ili baby asijue sawa!!!!!

Sitaki ushahidi mie... Afu ukinionaga uwe unanimbia taratibu wengine wasisikie lol... Mpk kila mtu ajue nililala Belmont kha!!! Utajavunja ndoa za watu weye toto!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom