Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
sio fisadi??
jambazi kuu....
sio fisadi??
Jana sijui nimekufananisha pale Belmont Hotel niliona mtu kama wewe anachukua keys za room....
kulikoni kwanini hukulala nyumbani!!!!!!!!!
Vin Diesel kasema bei gani ati.
Nimekumiss pasipo mfano.....
Vin Diesel unau-over use moyo wako.....
hivi una wanawake wangapi kweli?
kasema elfu 80,hivi kahela haka ndio kakutugombanisha?
usidanganywe na Mamndenyi.....
Unajua sikuelewi Vin Diesel?
White Party uko na nani mpaka mwisho. Jibu A au B
(a) Mamndenyi
(b) Madame B
Jibu ni [ ]
nimeambiwa nikupe hela ukanunue nguo zoooote....haya leta invoice hapa
@ kweli siyo issue hiyo, kiatu apewe tu akitaka na nguo za ndani pia mpe.
moyo wangu una nafasi ya kutosha sana tu.....kiukweli idadi siijui...ndio nipo kwenye sensa ya watu na makazi....
Jibu swali.
Longolongo miingi.
Huo moyo nadhani unajuta kuwa wako!!!!!!!
Mimi nautaka mwili wakng