Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,550
Si kama ujio gesi pande za mtwara, nakuja kama sijui nani vile nakuja kama nani kirusi, Baada ya kukaa selo kwa muda usiovumilika hatimaye I'm out. Sijui nianzie wapi ila:
i. Kesho jumatano tarehe 16 Slave na Evelyn Salt ndani ya ndoa itakayofungwa kanisa la watakavitu wote saa tisa alasiri.
ii. mary hunbig na stevoh nataka hati zenu za muungano mezani kwangu kesho asubuhi na mapema nizipitie upya
iii. Mungi ulete maelezo ya kina juu ya kashfa yako ya kimahusiano na mtoto wa under 18 sharifaa ,unataka upate brain concusion eeh!
iv. Chimbuvu na Madame B nahitaji maelezo ya kina juv ya mustakabali wa ndoa yenu na uhusika wa Chibolo na Arushaone kwenye mimba ya Madame B.
v. Mamndenyi na Vin Diesel nahitaji kuona hati zenu za maridhiano kabla sijabatilisha ndoa yenu kutokana na nyendo za Vin Diesel
vi. ummu kulthum uje privately uthibitishe tuhuma zako na udhalilishaji juu yangu
vii. Globu nahitaji nyaraka za utetezi wako kwa nini usiondolewe jukwaa la utambulisho baada ya uzushi uliomfanyia Evelyn Salt.
viii. amu lete maelezo kwa nini uligoma kunifariji japo kwa nusu saa uliyokuja selo, na mzungu mndali kwa nini umeondoka bila kuniaga!???
ix. Jacaranda ndo kwetu unajua kosa lako
Ntaendelea kesho na wengine, kwa leo niacheni nikaoge baharini usiku huu kama nilivyoshauriwa na mganga ili nisipatwe tena na ban.
ONYO: Kwa wale jamii ya C.T.U na Amsterdam Don't dance and chit chat, this is another fire (msicheze na chit chat , huu ni moto mwingine)
Cc. Erickb52 , Mentor, Dr.zero Mr Rocky , Slave, Dena Amsi, nitonye, Bishanga , watu8

Last edited by a moderator: