Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Vin Diesel hata kama utapumulia mipira utajijua.
Yamekuwa hayo tena!
Last edited by a moderator:
Vin Diesel hata kama utapumulia mipira utajijua.
Naona unataka kitu kizito chenye ncha kali kirushwe upande wako
nadhani sasa kaelewa......
Unataka urutubishe mimba yake au!???
Baba V naomba cheo cha katibu wa penda penda club apewe Vin Diesel maana ashanishinda hata mimi kwenye kupenda penda
nlijua tu nikikumwaga lazma uangaike!!!!!
ila na mi kama vile kuna muda nakumiss ila usimwambie mtu eeh......
Ndio,
kwani we nani bhana!
hiyo white party naifike tu
kila kitu kitakuwa peupeeee, Madam B na wenzio wote mtaipata.
naona kala kona.....ha haTenyaaaaa,
Heri kuvaa Ndala kuliko Mdundo Mbovu.
Aaah wapi.. ntu nzima hatishiwi nyau... FYI nishalipiwa hadi kiingilio na viatu nishaletewa bado nguo tu... Vimenitoshaje thatha!!!! Mpk utajibeba bibi weeeee!!!!!
![]()
we !we! We! Embu kuja huku ufanyiwe makeup unazungumza nini na hiyo wachumba 30.
Shem usithubutu hata kumpa mkono huyo Vin Diesel, hafai afu anatumia madawa
tufanye weekend basi.....
Mi nna siri zake nyingi tu namstahi....
hata hapo begani anayo ile sijui inaitwa iriki sijui nini!!!!!
Ntakuwa ukweni!!!!!!!
mashalaaaah....ndio maana ukawa namba moja wangu....haikuwa bahati mbaya
Sitaki ushahidi mie... Afu ukinionaga uwe unanimbia taratibu wengine wasisikie lol... Mpk kila mtu ajue nililala Belmont kha!!! Utajavunja ndoa za watu weye toto!!!!