Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
KWANI TUKO WANGAPI Vin Diesel?
tupo millioni 44 na laki 9.....
KWANI TUKO WANGAPI Vin Diesel?
we !we! We! Embu kuja huku ufanyiwe makeup unazungumza nini na hiyo wachumba 30.
nasubiri dinner.....
tupo millioni 44 na laki 9.....
Sijaelewa kitu
Basi me najitoa.
Utakuja tu zikipanda....utanikuta pale pa siku zote...
nitakufuata huko huko......
Nilichange namba ya simu ngoja nikupe hii mpya nitakusave charminglady voda ili baby asijue sawa!!!!!
Mende bar?
Nimekutumia Pm.
my dear....nasubiri PM yako....siku zaenda ujue
Chausiku gesti hausi....
tahadhari!!!!!!!!!! baada ya ndoa tunabadilishana simu yangu utakuwa nayo na yako nitakuwa nayo,