TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Ishia zako ushantoa mood mie!!!!!!!!
yani we mwanaume ni pasua kichwa......

Afu wewe tangu ulivyosema jana utanitafuta hadi sasa kimya why, afu mbona unaongea na Vin Diesel huku unatafuna nyasi, tatizo ni nini!? na saa tisa si ndoa au!??
 
Last edited by a moderator:

Ananambia sijui anataka anipe mchango ndo nkawa namwambia kachelewa!!!!
 
Afu wewe tangu ulivyosema jana utanitafuta hadi sasa kimya why, afu mbona unaongea na Vin Diesel huku unatafuna nyasi, tatizo ni nini!? na saa tisa si ndoa au!??

hii ndoa inaweza isifanyike....na hata kama itafanyika mie na Evelyn Salt tutaendelea kupasha kiporo mpaka kufa.....
 
Last edited by a moderator:
tulizana mpenzi....baadae mhemko ukikurudia niambie....nitakuwa serena

Hivi unajua kuwa huyo binti unayeongea nae baada ya saa moja ijayo anafunga ndoa!? au unajichekelesha tu..., afu wewe subiri nikamilishe habari ya hizi ndoa nije kwako
 
unajua nimekaa nae unyumba miaka mingapi?
 
Nani awe mume wako, unikome, unataka upate umaarufu kupitia kwangu, wakamate haohao njegele

Unawashwa eee!!
Subiri nije kukukuna.
Yaani woote niwaache nije kwako?
Mwanaume Suruali?
Si Bora niende kwa Bishanga au kwa Ritz.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom