Dr.zero
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 964
- 434
Dogo una akili sana wewe!!!!
Unampoteza huyo,anatoa suggestion gani dhid ya Mwenyekiti!? Ohoo!!
Dogo una akili sana wewe!!!!
Hata sisi wana cc tunakuona wewe ni rubbish huku!!!!!!!!
Are you among the great thinkers Evelyn?!!!
hii ilikuwa ban ya kwanza sasa karudi huko lakini tunaye kimwili
Hee kumbe ni hayo! Ban za humu nao deiz shughuli , nna hisi huku tuendako itakujafika mtu kakuamkia shkamoo, na usipoitikia mar'haba unakula ban!