TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Vin Diesel nafikiri chep cha mwenyekiti wa penda penda kinakufaa wewe Mamndenyi nimekumiss wewe hebu pokea hiyo mwahaaaa
 
Last edited by a moderator:
hiyo white party naifike tu
kila kitu kitakuwa peupeeee, Madam B na wenzio wote mtaipata.
 
Last edited by a moderator:
hiyo white party naifike tu
kila kitu kitakuwa peupeeee, Madam B na wenzio wote mtaipata.

Huo Mkwara wa Ng'ombe kula nyasi lakini anatoa maziwa.
Bwana wako namchukua na hunifanyi lolote,
Sijali lolote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom