Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,392
@ kweli siyo issue hiyo, kiatu apewe tu akitaka na nguo za ndani pia mpe.
una uhakika?
@ kweli siyo issue hiyo, kiatu apewe tu akitaka na nguo za ndani pia mpe.
Jana sijui nimekufananisha pale Belmont Hotel niliona mtu kama wewe anachukua keys za room....
kulikoni kwanini hukulala nyumbani!!!!!!!!!
Mamndenyi umesamehewa... Enenda zako kwa amani na usitende dhambi tena!!!!!
Utakuwa na mimi au Mamndenyi?
Fasta.
aah wapi....nimekumiss kiukweli....na wewe ndio umesababisha yote haya
we mbona umekaa kimya....hawajakuambia mie ni nani?
nlijua tu nikikumwaga lazma uangaike!!!!!
ila na mi kama vile kuna muda nakumiss ila usimwambie mtu eeh......
Shost siku moja moja nabadili mazingira mwe!!!!!!
unachezea miaka 30 wewe! Shauriako.
Tutaambiana mioyoni mwetu....5 years sio mchezo....
nlijua tu nikikumwaga lazma uangaike!!!!!
ila na mi kama vile kuna muda nakumiss ila usimwambie mtu eeh......
Sawa sitamwambia mtu
Nilichange namba ya simu ngoja nikupe hii mpya nitakusave charminglady voda ili baby asijue sawa!!!!!
Utaikuta talaka kwenye meza ya chakula.
Stay away wewe naongea na bakurutu wangu Vin Diesel
bora ufanye hivyo... charming lady is my number one girl....
Utaikuta talaka kwenye meza ya chakula.