TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Tutaajiri sio kwa sababu wewe ni muislamu au mkristo.tutaajiri kwa vile una sifa stahiki.!
 
Kama ndio wataalamu ulitaka tufanyeje?? Ulitaka wapewe vilaza..
Binafsi nao kuhoji uongoz wa sehemu yoyote kwa minajil ya dini ni ufala…
 
sipendi mada hizi maana huwa hazipangwi zinatokea tu.tuachane na mambo ya udini tufocus kusaidia uchumi wa nchi yetu.pakuwa na umeme mzuri wanaofaidika ni wote.tuubge mkono juhudi njema na sio kuwasha mioto isiyo na maana

Acha unafiki wewe! Leo kwa sababu mmeguswa ndio unajidai kusema haya. Mbona ilipokuwa inasemwa NSSF hukutoa hoja zako hizi za kijinga?
 
Mleta mada umetumia kigezo gan kujua hao ni wakristo au umeangalia jina kuna mwingne anaitwa jina la kikristo hats mlango Wa kanisa haujui na unakuta ni mshirikina balaa sasa hao pia mbona hujaandika idadi yao ukiwa na akili nzuri huwez judge mtu imani yake kwa kutumia jina lake
Sasa nataka kujua mleta mada umesoma mpaka wapi na umesomea nn na naomba utuletee majina ya waislam walioenda kuomba kazi tanesco wakanyimwa kisa tuu ni waislam. Usitegemee haki sawa ktk ajira na mwenzako ili hali wewe hukwenda shule hivyo basi jifunze kufanya kitu kwa nguvu zako mwenyewe usitegee kivuli cha dini
 
DAU kawachanganya sana, na ule msikiti NSSF ulikuwa unatafuta nini? TANESCO UMEONA KUNAKANISA?
DAU kawachanganya sana, na ule msikiti NSSF ulikuwa unatafuta nini? TANESCO UMEONA KUNAKANISA?
DAU kawachanganya sana, na ule msikiti NSSF ulikuwa unatafuta nini? TANESCO UMEONA KUNAKANISA?
lazima uelewa ndugu NSSF apakuwa na msikiti palitengwa sehem ya kuswalia waisalm coz muislam anaweza kuswali sehem yoyote itakayokuwa safi...km umesafiri ktk boti za azam kuna sehem imetengwa kwajir ya kuswali so atuwezi kusema ktk boti kuna msikit...ili msikiti utimie kuna baadhi ya vitu lazima vitimie km kibla,mimbar,quraten,imam,n.k or unaweza kutueleza msikiti wa NSSF ulikuwa unaitwa masjid gani???
 
Kila mtu raia wa aki ya kupata ajira hasa za serikali
Ambao wapo university na ambao wanamaliza zaidi ya90
_ 95%percentage n wakristo hiyo wote waliopo vyuoni wanajua
 
mleta mada asante kama ungeleta mada kwa maana ya wahusika kukosa sifa niko na wewe ila kwa maana ya dini hapana sikuungi mkono,kwa hao waliofeli hata mim sikubaliani nao
 
Shule ya serikali niliyosoma Mimi ilikua na watumishi 56,wakiwemo walimu 47,hakukuwa na muislam hata mmoja. Sasa sijui hapo napo wangesema udini au ndo wanalamikia na sehemu wanazodhani kuna maslahi mazuri?
 
Shirika nyeti kwa maendeleo ya nchi ndio Majamaa yanaendekeza upendeleo WA dini na kabila, DR JPM tumbua hao matanesco wabaguzi, Yaani sifa Yao kubwa pale ni Kiburi, jeuri na dharau. Ufanisi ni karibu na zero
 
udini ukiwa muslam tu, ukiwa mkristo inakua sio udini, hapo itabidi wazungumzie ukabila, tuangalie kama wachaga au wahaya wapo wengi au vipi.
Huo Nyerere aliuita .. DHAMBI YA UBAGUZI... ukishakula nyama ya mtu hutaacha, so long as watu bado wapo utawala tu...

Sasa muanzisha mada, ameanza na udini, wewe ukaingiza ukabila. Mkishamaliza hayo mtaingia weusi na weupe, unene na wembamba, urefu na ufupi, kanda, ukoo, wenye nazo na waio nazo, wenye magari ya aina fulani, wenye vyeo na wasio navyo ...etc etc
 
Usiangalie dini tuu angalia na CV maana hao wote ni wahandisi .usije kuta tatizo limeanzia chuo kikuu kutokuwachagua hiyo dini ingine kusomea .Engineering
 
nimeyaona,kudadeki!katika idadi yote waislamu hawafiki hata watano!aya tuseme kuna waislamu waliochukua majina ya wakristo miaka hili wasome,ukijumlisha na hao hawafiki kumi!kudadadeki!
Zingatia hapo wote hao ni wahandisi .usijekuta unawalaumu TANESCO bure kumbe lawama ni za chuo kikuu kuwabagua na kama sio engineering yenyewe kuwabagua.
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....


tanesco-1-png.329206


tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212


tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219


Ili tujadili vizuri, ninaomba utuambie unajuaje kwamba hao uliowataja ni waislam na Wakristo?

Katika hao uliowaita Wakristo, naomba utuambie ni nani kati yao aliajiriwa bila uwezo wala sifa ila kigezo kilikuwa dini yake.

Tafadhari sana. Thibitisha. Kwa nini umeandika dini mbili tu? Mahende Mgaya ni dini gani? Kwlei wewe nipumbavu tu! Wala usinijibu utanipotezea muda. Upunguani tu unawasumbua.
 
Back
Top Bottom