TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Haaa haaaa pole sana mkuu kama mpaka leo unafikiria hivi nani unafikiri anaweza kukuajiri?
hii nchi waislamu tunanyanyasika sana...tumesoma sana lakini hatupaewi kazi kwa ajili ya imani yetu
 
M
Mkuu umeweka facts. Uzi huu na ule wa NSSF lazima uwe endelevu, tujue nani ni mdini na nani siyo mdini. The Big Show, njoo huku hawa jamaa leo wameanikwa. Mleta mada tunakushukuru sana.

Mkuu kinachotakiwa ni elimu,ukienda udsm engineering 98% ya wanafunzi ni wakristu sasa unategemea ajira za ma engineers waajiri kutoka Muslim university morgoro
 
Kundi la Wakirsto wakiwa sehemu moja uwa hamna sababu za udini wanasema ni wasomi lakini Waislam wakiwa watu sehemu moja tuambiwa ni udini daah!

Nimeona hizo orodha wamejaa wagalatia watupu utadhani ofisi za serikali ni vigango vya Kanisa.

Mods tunaomba tu huu uzi muutendee haki kama mlivyotendea haki uzi wa NSSF na Dr.Dau na udini.

Wakirsto wa Tanzania wana roho mbaya sana pamoja na usomi wao wanaojitapia wamejaa serikalini lakini nchi bado masikini kazi kufanya ufisadi tu.
Haaaa haaa kaka unalia lia sana na Udini sasa weka basi CV za hao wa NSSF na hawa TANESCO then tuone kama kuna uwiano mkuu, Punguza jazba ya udini mkuu, kwani utaratibu wa ajira ukoje TANESCO?
 
Haaaa haaa kaka unalia lia sana na Udini sasa weka basi CV za hao wa NSSF na hawa TANESCO then tuone kama kuna uwiano mkuu, Punguza jazba ya udini mkuu, kwani utaratibu wa ajira ukoje TANESCO?
Utaratibu upo wazi mpaka uvae msalaba huoni orodha hiyo wana kwaya watupu Tanesco ni hamna tofauti na kanisa.
 
Hawa wanaoleta Hizi mada nashaka na Utanzania wao na Malengo yao.. Mnataka Kuwakaribisha Magaidi kwa Jina la kutetea Waaislam, Ingekuwa China JF ishafungiwa.. watu wasipate UCHOCHEZI HUU.
 
Utaratibu upo wazi mpaka uvae msalaba huoni orodha hiyo wana kwaya watupu Tanesco ni hamna tofauti na kanisa.
Mkuu weka CV za hao wafanyakazi wa TANESCO na NSSF kubebana kwa masuala ya msingi eti kisa ni udini kuna paswa kupigwa vita kabisa mkuu Ritz
 
Hamna muislam anaekula mnyama ambae M/mungu amemuharamisha na kumuita ni uchafu(najisi),,,,naona Leo mmeshikwa pabaya wagalatia, mlivyokuwa mnamshupalia mzee wa watu watu kuwa NSSF kaigeuza msikiti,,,Leo mnang'aka naona
Unaquote vitabu vya dini ambavyo umeletewa na watu kama wewe, hivi babu zako walikuwa na dini gani?Ina maana Budhist wote wataenda motoni?Orthodox na wasio na dini je?
 
Mawazo ya kale na ya kijinga

Nyie mliosoma mmeongoza kila sehemu nchi hii tangu uhuru
Matokeo
Tanganyika nchi maskini kuliko zote in the entire known universe

Akili ya nguruwe
Nani kakuambia Tanzania ni nchi Masikini?
 
😱Aisee Tanesco kuna UDINI sijawahi kuona ,kama wewe sio mvaa msalaba hapo usahau,kuingia hapo labda upewe kimemo na baba askofu ,sio kwa udini huo, hii sio TANESCO ni KANISANESCO.HILI NI JIPU LA PUANI LINAHITAJI KUTUMBULIWA HARAKA SANA.

kumejaaa waimba kwaya watupu!!!!!!
Kumejaa waimba kwaya wasomi na wenye vigezo
 
Sasa kama CCM inakumbatia Ukristo huko serikalini kwanini usiame CCM na kuamia CUF chama mnachosema ni cha Waislamu??? Au unaitenganisha CCM/Serikali na Umaskini wa watanzania???
Nyie ndiyo mlikuwa manalalamika kuwa NSSF kuna udini bila ushahidi mmewekewa ushahidi wa Tanesco ilivyo kama kikango cha Kanisa hiyo orodha wana kwaya watupu unajifanya huoni unaleta drama za CCM na CUF.
 
Hivi unaeza jua dini ya mtu kwa kuona jina tu? Mbona mm naitwa Mohammed lakini ni mkristo!
 
Mkuu weka CV za hao wafanyakazi wa TANESCO na NSSF kubebana kwa masuala ya msingi eti kisa ni udini kuna paswa kupigwa vita kabisa mkuu Ritz
Mkuu mbona hayo madai yako ya CV ukuyatoa kwenye uzi wa NSSF kuhusu udini wa Dr.Dau?
 
Back
Top Bottom