TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Mambo ya udini sasa mwisho humu ndani,admin futa thread zote za lidini na zuia post mpya hapa sasa kazi tu
 
Mkuu LAPF ulikuwa haijulikani kabisa enzi za yule alipita na mmanga ndo aloua pspf ndo maana alimuweka Adam mayingu ili alinde ufisadi wake,sasa Adam ni mgala au firauni?
Eeh kwani hujui yaliyotokea Pspf? Serikali imekopa zaid ya trillion moja na leo ndio unaona mfuko una hali mbaya vile, Kwa kesi ya Mayingu yule ni mwenzenu,nadhani humfaham vizuri yule tafuta uzi wake alishajadiliwa hapa baada ya uteuzi wake na ziada pitia sheria inayosimamia hii mifuko ya hifadhi ya jamii ujue namna Dg anavypotikana,usikurupe kama Jenista muhagama
 
Ndio mana waislam tunalalamika sana kwa mambo kama haya wanachaguana tu kwenye makanisa sawa tu wacha tusubir nusra kutoka kwa mungu
 
Mambo ya udini sasa mwisho humu ndani,admin futa thread zote za lidini na zuia post mpya hapa sasa kazi tu
Kwa hiyo kama huo sio udini ni nini hebu tuambie ww nyie ndio mnaudini sisi tunazungumzia udini kwa maneno nyie kwa vitendo
 
Yule wa CRDB, naitwa kimeo ...sijui... kimio... yeye anafanya sherehe za mafanikio ya benki hiyo la umma kanisani...Hebu wanaojua CRDB watutupie hapa data za dini za maafisa wake. nadhani huko ni hatari zaidi...itakuwa ni parokia ya pili baada ya hii ya TANESCO. Sherehe kama hizo angazifanya muislamu wangesema nchi imeshasilimishwa...
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.

Na umeona ktk interview mfano kashindwa mwislaam sasa unachogoma isisemwe nin,tayare wew mdini kwa mfano wako tu huo dhaifu.
 
Wakristo wamesoma sana kuliko sisi waislam. Wanastahili

Hizo fikra za 1980,hlo halipo tena na wanao uwajuze hilo,waskae na fikra za enzi kama wew,kwaivo nchi hii kabila walio wengi wasukuma mbona hawana nafasi na wamasai.
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....


tanesco-1-png.329206


tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212


tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
Chonde chonde jamani msifike huko
 
Tanzania uwa hamna Wakirsto wadini mkuu wangu, wagalatia wanavyosema neno udini uwa wana maana ya Waislam.

Ukiangalia hizi data ulizoleta wamejaa wagalatia/wanajumuiya watupu.

Hamna hata mgalatia mmoja ambaye aalikuwa anatokwa na povu dhidi ya Dr.Dau kuwa ni mdini anatoa ajira NSSF kwa Waislam akiwagusa hawa wanakwaya wenzake.

Hii nchi Imejaa wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom