No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,831
Wakristo wamesoma sana kuliko sisi waislam. Are u serious,islam....wait for them shortly!
Wakristo wamesoma sana kuliko sisi waislam. Are u serious,islam....wait for them shortly!
Kuna wakati nilienda kuomba kazi pale Davis and Shetliff. Manager Mr. Tony Mwangi wakati huo akaniuliza. are you a muslim? nikajibu, Yes! nikajua sipati kazi. wiki iliyofuata akachukuliwa Mkristo.Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
Sikutegemea MTU mwenye akili timamu kutoa hoja hii! Naogopa kukuambia lolote zaidi ya kwamba una upeo tu mdogo!Usiangalie dini tuu angalia na CV maana hao wote ni wahandisi .usije kuta tatizo limeanzia chuo kikuu kutokuwachagua hiyo dini ingine kusomea .Engineering
kama hivyo unavyosema ni sahihi kelele za udini kipindi cha Dau Nssf zilikuwa zinatokana na nini?Tutaajiri sio kwa sababu wewe ni muislamu au mkristo.tutaajiri kwa vile una sifa stahiki.!
Mkuu wala nguruwe ni nani?nipo na Saidi na shabani hapa usoki sanawari tunasubiri Kitimoto ugali rost.Wala nguruwe wana chuki sana na uislam
Sofa stahiki na sio kwa sababu mnasali kanisa moja au msikiti mmoja.kigezo kikikiukwa ndipo shida inapoanza!!!kama hivyo unavyosema ni sahihi kelele za udini kipindi cha Dau Nssf zilikuwa zinatokana na nini?
Mkuu kwenu Mombasa nini?wanaume wanavaa pedi?huo msikit wa NSSF wewe umeouna??? lini umekwenda NSSF ukasikia adhana??? ebu nenda ukabadilishe iyo pedi kwanza
Wee ni nunda, hata ukinyimwa kazi usilalamike, yaani umekuja kusawazisha??Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.
NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'
Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.
Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo wanaoajiriwa TANESCO wana sifa stahiki ila wanaoajiriwa Nssf walikuwa hawana sifa stahiki ila sifa yao kuu ilikuwa dini zao si ndio ukimaanisha hivyo au?Sofa stahiki na sio kwa sababu mnasali kanisa moja au msikiti mmoja.kigezo kikikiukwa ndipo shida inapoanza!!!
Mkuu wala nguruwe ni nani?nipo na Saidi na shabani hapa usoki sanawari tunasubiri Kitimoto ugali rost.
Sasa mbona anabagua wala nguruwe?na sisi tusiokula samaki je?tuwadharau wao? Mbona msosi tu unajenga chukiWote wala nguruwe
Hongera yako. Ndiyo utajua kwann ss tunafukuza majini nyie mnayapokea.Jamani waacheni wala NGURUWE wajazane kwenye hivyo viofisi, wao maisha yao ni hapahapa duniani, kwsho AKHERA ni wote motoni, so waacheni na maisha yao mafupi ha 50 -60 yrs, hali wanayokwenda kukutana nayo kesho sio mchezo, ni viumbe wa kuhurumiwa sana, i wish wangejua kuwa UKRISTO sio DINI, bali ni ubunifu tu MWANADAMU