TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Pole sana Kwa kuona wivu na ajira za watu ila kazana kutafuta ajira kama hauna ila kama unayo nakushangaa sana kwa mtu kama ww kuongelea udini badala ya kuongelea maendeleo we unaleta majungu maana huna tofauti na wambea ni hayo tu but sorry kama nimekuudhi
 
nimeyaona,kudadeki!katika idadi yote waislamu hawafiki hata watano!aya tuseme kuna waislamu waliochukua majina ya wakristo miaka hili wasome,ukijumlisha na hao hawafiki kumi!kudadadeki!
Kama ulisoma elimu AHELA, unategemea upate kazi katika elimu DUNIA ni ndoto za ALINACHA.

Badala ya kulalamika msome ili mpate vigezo vya kushika hizo nyadhifa.

Naona swala la DAU limekuchanganya mkuu, tujenge nchi majungu peleka huko..

HAPA KAZI TU
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Hapo dini iko wapi mbona sijaona mchungaji au sheikh hapo, bali ni majina ya watanzania wasomi.
 
Umeishiwa sera na hoja sasa unaanza kuhubiri udini.

Kazi zote hutangazwa kwa mujibu wa sheria na waombaji kazi hushindanishwa, anayepata ni mwenyesifa stahiki.

ACHA KUHUBIRI UDINI, WOTE WATANZANIA TUNAHAKI SAWA, HATUUKIZANI UDINI WALA UKABILA.

MTU PEKEE MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRIA NDIO HUKAA NA KUWAZA VITU VISIVYOKUWA VYA MSINGI
Hayo unayajua leo? Mbona wakati ule issue ya mapovu ya NSSF hukukemea? Leo umewekwa udini dhahiri kwa FACTS, naona mmeanza kujua madhara ya mbegu mulizoanza kujenga huko nyuma. Tabia mbaya sana hii. Watu wanaona raha ndani ya jamii kundi moja liwe dhaifu milele, hii haiwezekani kuchekelewa. Hata huko NSSF bado kwa top ilikua ni 3 kwa 5! Hapo TANESCO ni aibu!
 
1.tafuta takwimu za kwako ambazo ni sahihi kisha uziweke hapa
2. Si kwa idadi hyo yaani muislamu 1 shirika zima?? Sio hoja eti waislam kuwa hawajapata fursa ya kusoma ebu tuangaze huko vyuoni ina maana wote wale hufeli na kuishia mtaani??
Mtake msitake huo ndo ukweli wa mambo ulivyo
mkuu,uko sahihi!hii imetisha!yaaani over 90% to 10%!dah
 
Kama ulisoma elimu AHELA, unategemea upate kazi katika elimu DUNIA ni ndoto za ALINACHA.

Badala ya kulalamika msome ili mpate vigezo vya kushika hizo nyadhifa.

Naona swala la DAU limekuchanganya mkuu, tujenge nchi majungu peleka huko..

HAPA KAZI TU
kazi tu wapi wewe!mling'aka kuhusu Dau,ila ona hapo juu,yaani 4 muslims to 100+ christians du!
 
Wabalance hata Kama huna vigezo? Ukiwa na vigezo hakuna shida unapata bila tatizo na swala sio balance ni wenyevigezo wapate, wasio na vogezo washinde kwenye keyboard wakifanya majungu
Nani kakuambia hakuna vigezo? Acha hizo. Visingizio vilikua zamani, Waislam wameamka. Na bahati yenu kwa kua MoU imesaidia. Acheni hizo! Leo ndo unasema vigezo? Acha udini!
 
Umeishiwa sera na hoja sasa unaanza kuhubiri udini.

Kazi zote hutangazwa kwa mujibu wa sheria na waombaji kazi hushindanishwa, anayepata ni mwenyesifa stahiki.

ACHA KUHUBIRI UDINI, WOTE WATANZANIA TUNAHAKI SAWA, HATUUKIZANI UDINI WALA UKABILA.

MTU PEKEE MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRIA NDIO HUKAA NA KUWAZA VITU VISIVYOKUWA VYA MSINGI
Mbona hayo hamkuyasema wakati mapovu yakiwatoka kuhusu NSSF?
 
Hayo unayajua leo? Mbona wakati ule issue ya mapovu ya NSSF hukukemea? Leo umewekwa udini dhahiri kwa FACTS, naona mmeanza kujua madhara ya mbegu mulizoanza kujenga huko nyuma. Tabia mbaya sana hii. Watu wanaona raha ndani ya jamii kundi moja liwe dhaifu milele, hii haiwezekani kuchekelewa. Hata huko NSSF bado kwa top ilikua ni 3 kwa 5! Hapo TANESCO ni aibu!
mkuu uko sahihi!naona wanajificha nyuma ya usomi wa wagalatia!ila kama mgalatia mmoja atamchomeka mwenzie,na alyechomekwa akamchomeka mwingine...je hao waislamu watatu watakuwa na nguvu ya kuyachomeka na wenzao,at least hata kama hairuhusiwi...wataweza?hii ni too much,aisee!
 
Umeishiwa sera na hoja sasa unaanza kuhubiri udini.

Kazi zote hutangazwa kwa mujibu wa sheria na waombaji kazi hushindanishwa, anayepata ni mwenyesifa stahiki.

ACHA KUHUBIRI UDINI, WOTE WATANZANIA TUNAHAKI SAWA, HATUUKIZANI UDINI WALA UKABILA.

MTU PEKEE MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRIA NDIO HUKAA NA KUWAZA VITU VISIVYOKUWA VYA MSINGI
inakuwa udini tu,kama inahusisha ndugu zetu waislamu,si ndio?
 
Tatizo NI kuajiri watu wasio Na sifa isipokuwa Dini zao . I will be the last person to believe that wakristo wanapendelewa
 
Back
Top Bottom