TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
Ajira inalenga Cv na si dini
 
Serikali ya ccm Siku zote huongozwa na vatican
Mtakaliaga hayo hayo tu kila siku. Km mnaona mnaonewa muunde shirika lenu na nyinyi.
Serikali ya Tanzania haiamini udini hata kidogo na haina udini.
Nyie endeleni kutanguliza udini mbele, watu wanapiga kazi.
 
Ukiishiwa hoja nyamanza, haya ya udini kwa nchi yetu hatuna
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219

nyie wapinzani wa mkristo, tanesco kwaitaji taaluma ya kweli sio kama nssf mlipojazana kama kumbikumbi, hio taaluma hamna mtaunguza nyumba zetu
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
Kuna madhehebu mangapi ya kikristo? Katika hao wakristo ukiniambia hao wote ni wasabato pekee nitakuelewa kwamba kuna udini ila kama ni wakristo katika dini tofauti sijaona udini hapo.
 
Tanesco hakuna udini wewe lazima tukubali ukweli kuwa tanzania idadi ya wakristo ni wengi kuliko waislamu lakini pili kielimu wakristi wapo juu kuliko sie waislamu by the way nipo tanesco hakuna mambo hayo hapa kazi tu
 
Serikali ya ccm Siku zote huongozwa na vatican
Ahahahahaha!! Naona unaziba shimo la panya kwa mkate.

Wagalatia wote uwa wanakuwa kitu kimoja linapokuja suala la Waislam.

Unajidanganya na Chadema unadhani Mbowe, Lowassa wana kheri kwa Waislam refer maneno ya Mtei au Lema anakuambia udini Tanzania umeletwa na JK.

Endelea kutumika tu kamanda wa sinema za kihindi.

Mfano kiduchu angalia kwenye hizi threads wanawatukana na kuwashambulia Waislam ni pro-Chadema nadhani wewe siyo mgeni JF tunajuana kwa IDs zetu.
 
Wakristo wamesoma sana kuliko sisi waislam. Wanastahili
Kama hujasoma ni wewe na ukoo wako.siye wengine tumeenda shule vizuri tu sema magumashi katika nchi hii hayaishi.ukiangalia awamu hii ya tano wakristo wamewekwa kwa fujo tofauti kabisa na awamu iliyopita JK alijitahidi sana kubalance.
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
ACHA ujuha WEWE watu wamepata nafasi zao kutokana na sifa zao sio kule NSSF watu walikuwa wanapewa nafasi kutokana na dini yake...
 
ACHA ujuha WEWE watu wamepata nafasi zao kutokana na sifa zao sio kule NSSF watu walikuwa wanapewa nafasi kutokana na dini yake...
Wewe punguani kweli weka basi ushahidi wa maneno yako unaleta story za kwenye vijiwe vya mbege.
 
Wewe punguani kweli weka basi ushahidi wa maneno yako unaleta story za kwenye vijiwe vya mbege.
Punguani ni WEWE ushahidi weye polisi?hilo lilikuwa wazi kabisa ndio maana hata post zenu za juzi jamaa alipopata ubalozi wa nyumba kumi kule Malaysia mlipiga vigelegele nusu forum ipasuke[emoji23][emoji23]
 
wale wavaa ushungi wa NSSF ina maana siku hizi hawapo
Hii nchi haina dini wala NSSF sio shirika la kidini.
Kuwepo au kutokuwepo hiyo hainihusu.
Ni ujinga na upumbavu kuleta udini Tanzania.
Yyte anayetanguliza udini ktk nchi hii alaaniwe mpaka ukoo wao wote.
Shenzy kbsa. Udini peleka nchi za kiarabu au Vatican huko.
Hii nchi haina udini. Na yyte atakaye leta udini huyo anapaswa avikwe kitanzi kbsa.
 
Kinachosababisha Waislam waonekane ni wadini na Wakristo waonekane sio wadini ni muongozo waliopewa na vitabu vyao ...................................... Waislam wameambiwa hiv na Allah....Surat Al Maida 51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.http://www.quranitukufu.net/005.html............Wakristo nao wameambiwa hiv na Mungu Yesu wao........Marko 12: 31..Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.“............Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.” Zab.133:1.......
 
Tanesco hakuna udini wewe lazima tukubali ukweli kuwa tanzania idadi ya wakristo ni wengi kuliko waislamu lakini pili kielimu wakristi wapo juu kuliko sie waislamu by the way nipo tanesco hakuna mambo hayo hapa kazi tu
We peleka nuksi zako huko, kwa waislam hakuna taahira wa dizaini yako,we na akili zako za kuku unakubali kua waislam hawakusoma lakini wakiajiriwa wanasemwa kua udini umetumika,hii nchi yetu sote,na kama nyie mko wengi kwanini kipengele cha dini kwenye sensa mligoma kuweka?acha kula nguruwe ili akili yako ijitegemee.
 
Back
Top Bottom