TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:
tanesco-1-png.329206


tanesco-2-png.329207
Tatizo mbakimbia hesabu... Kaka tanesco wanaofanya kazi huko ni mainjinia ...
 
Kafanye utafiti wako na UDOM utuletee tulinganishe na kutofautisha (compare & contrast)
 
Naomba ulete ratio ya waisalmu na wakristo waliomaliza masomo ya sayansi a level na ufaulu wao
 
Nasiki serikalini kuna ndugu watatu wanawake wana top posts lakini huwezi kujua kama wanazaliwa na baba na mamoja. Hawa ni Asha Rose Migiro, Radhia Msuya na Mwantumu Malale, ilitokeaje?
 
Mkuu umaskini up
Maskini

Yaani pamoja na umaskin aliokusababishia mzungu wewe hadi leo umekaa una mtukuza?

Wewe hujui kbs chanzo cha ufukara huo wa fikra na akili ni nin?

Ajabu akaja kukuachia hadi mungu ambae ni mzungu nawewe unakubali.


Mkuu umaskni upi walitusababishia wazungu?lini taganyika ilikuwa tajiri kabla ya ukoloni?
Umaskini wamesababisha.waarabu waliowalemaza kifikra na kuishia kucheza bao kusibiri kahawa
 
Unaona sasa waimba kwaya mlivyo watupu kichwani?

Yaani wewe ndiye unajiita msomi...

Na unashupaa kabisa kuwa wajeruman na waingereza hawakuwafanya nyinyi kuwa watumwa...

Unadhan hiyo Berlin Conference ilifanyika uarabun?

Na una taarifa kuwa meli ya kwanza kubeba watumwa kutoka Ghana ilikua inaitwa Jesus?

Pia una taarifa kuwa ngome ya kuhufidhia watumwa inaitwa fort jesus?bimaana Ngome ya yesu?

Au shule hiyo mlisoma nin hasa?


Hahahhaaha yaani madrasa badala ya kufundisha dini wanalisha ujinga watu
Fort Jesus was a portuguese militaty garisson not a slave trade house
Berlin conference.ilifanyika1884wakati utumwa ulishapigwa ban ulaya isipokuwa kwa waarabu(unaendelea mpaka leo)
Hesabu 1884mpaka1961ni miaka mingapi wazungu wamwkaa.Tanganyika??
wajerumani walijenga reli toka dar-kigoma-mwanza,tanga-moshi-arusha,mtwara-tunduru kwa.miaka30waliyokaa tanganyika haya baba waarabu walifika toka mwaka1000walijenga nini?
 
Tusitibiwe kwenye hospital zao gan wewe muimba kwaya?

Hospital hizo mnazochukua mabillions ya pesa zetu za kodi kwa kutumia MOU kisha mnendesha huduma na hapo hapo tukija sisi tunachangia huduma?

Wewe unadhan hizo hospitals km kcmc bugando n.k bila cost sharing na serikali mngeweza ziendesha nyinyi?

Nyinyi hamna mnachojua zaid zaid ya wizi na ufisadi tuh.

Majipu.
For example, Saudi Arabia and Yemen only abolished slavery in 1962 under pressure from Britain; Oman followed suit in 1970, and Mauritania in 1905, 1981, and again in August 2007.
 
Hivi ni lini dini inakuwa ni kigezo cha MTU kushika nafasi kwenye utumishi wa umma?
Kigezo cha short listing ni CV! Na kwenye CV hakuna kipengele cha dini ya MTU!
Halafu kwenye interview hakuna kuulizwa dini yako ni IPI?
Lakini mods, nyuzi zenye mwelekeo wa udini hazitusaidii! Muwe mnaziondoa Mara moja!
Performance ya mhusika iwe ndio kigezo cha kumfagilia au kumponda mtumishi yeyote wala siyo dini yake!
Lakini kingine mtoa Uzi amejuaje dini za wote hao? Majina si kielelezo cha dini ya MTU!
 
Magufuli avunje hiyo bodi ya Tanesco na afumue hiyo management yoote ihojiwe kwanin wamegeuza Shirika kuwa Dayosisi.

Mkuu nskubakiana nawe kwamba kuna umuhimu wa kufumua bodi nzima ya TaneSco vile vile nakubaliana nawe kwa kiasi kuhusu managenent, tuwe wakweli hapa Tanesco kama kampuni ni kubwa mno including urasimu mwini na kufanya kazi kwa mazoea - binafsi ningependekeza Tanesco igawanywe kwenye kampuni tatu namely:
(1)Yaku generate/zalisha umeme.
(2) Kusafirisha umeme.
(3) Kusambaza umeme.

Serikali ikitekeleza zoezi hilo, ufanisi utaongezeka exponentially, wenzetu huku ndio wanavyo endesha mambo yanayo husu suala la umeme miaka nenda rudi na wamefanikiwa sana sana, sasa sisi kwa nini tunag'ang'ania kuendesha such a conglomerate badala ya kuigawa kwenye kampuni tanzu tatu ambazo ni rahisi kuzi manage.

Sasa tuje kwenye recruitment ya wafanyakazi, linapokuja suala la ajira hasa hasa kwenye Mashirika makubwa ya UMMA kuna matatizo ya upendeleo na usanii wa kuitisha interview za kihini macho tu kuzuga wananchi kumbe wajiri wanawachukua ndugu zao, marafiki na kuwapa ajira kwa upendeleo.

Tukitaka kukomesha tabia ya kuajiri watu kwa kujuana, basi kuna haja ya kuwatunia Independent Consultants ku conduct interviews na matokeo yawekwe wazi, tukishindwa kutumia mbinu hizo hakuna kitakacho badirika.
 
Yaani mleta mada kawashika pabaya hawa jamaa. Kule NSSF walimtuhumu Dr. Dau kwamba ni mdini, kisa, kaajiri waislam wengi. Leo imebainika kwamba TANESCO imegeuka kuwa parokia kwa kuajiri wakristo wengi (uthibitisho umeambatanishwa) then wale wale waliomshutumu Dr. Dau wanageuza kibao na kusema kwamba wakristo wengi wameajiriwa TANESCO kwa sababu ya sifa zao za kielimu. Sasa jamaa anawaulizeni "Hao walioajiriwa NSSF ambao ni waislam hawakuwa na sifa? FUNDISHO: Mijadala yenye misingi ya udini haina nafasi katika karne hii ya 21, la sivyo utakuja kuumbuka siku moja.
 
Ni kweli hili ni tatizo na lipo kuanzia maswala ya udini na ukabila makazini!..ni hii inaumiza sana baadh ya watu fulani..ifikie mahali tuachane na upumbavu wa kubaguana...sababu sote ni binadamu
 
Utaratibu upo wazi mpaka uvae msalaba huoni orodha hiyo wana kwaya watupu Tanesco ni hamna tofauti na kanisa.
Endeleeni kupeleka watoto kwenye madrasa na kukaririshwa kuraani uone mwisho wanakuwa waganga wa kienyeji
 
Dini ni jipu lingine ndio maana msumbiji walivunja makanisa na misikiti.Huku tunakoelekea tunapaswa kuchukua tahadhari,lasivyo nchi inaelekea kugawanyika kidini.
Tunahitaji dini ila sio udini.
 
Waislam wengi hawajui sayansi
Kina vijana wengi Wa kiislamu waliobobea mwenye field za sciences Ila mfumo kristo hauwapatii fursa, ushahidi upo kila sehemu, Ila kila lenye mwanzo lazima litakua na mwisho, time will tell. Almighty always with the oppressed. Justice will prevail.
 
Kina vijana wengi Wa kiislamu waliobobea mwenye field za sciences Ila mfumo kristo hauwapatii fursa, ushahidi upo kila sehemu, Ila kila lenye mwanzo lazima litakua na mwisho, time will tell. Almighty always with the oppressed. Justice will prevail.
Hilo liko wazi ipo siku mambo yatageuka,haiwezekani shirika la umma liwe parokia.
 
Pale wameingia hata wasio na sifa.... Kuna wawili nawafahamu walifeli Makongo na hawakusoma chuo ila leo hii ni maafisa pale...
Hata pale Bot wapo wasiyo na sifa tena walifeli vizuri sana shuleni,kwa ujumla wake mfumo umeharibika kitambo.Kundi moja lilipaza sauti juu ya hali hii lakini halikusikilizwa likabezwa kwa kigezo cha "hawajasoma",madhara ya kubezwa kwa anaelalamika kutotendewa haki ndiyo hiki kinajili leo "UDINI"
 
Ni kweli hili ni tatizo na lipo kuanzia maswala ya udini na ukabila makazini!..ni hii inaumiza sana baadh ya watu fulani..ifikie mahali tuachane na upumbavu wa kubaguana...sababu sote ni binadamu
Ni kweli mkuu haya mambo yapo sana. Kupata kazi, kupandishwa vyeo vigezo havizingatiwi isipokuwa uswahiba,udini na ukabila, haya mambo ni ya kupigwa vita sana hasa ktk hizi nchi zetu changa
 
Back
Top Bottom