TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Hiki tena sio kigango itakuwa parokia aseee.
Sasa kama walikimbia electrical engineering unataka hao mameneja wa kanda wachukuliwe wenye kofia kukidhi idadi sawa hata kama taaluma yao ni ya kupiga ramli??
 
Sioni ssbabu ya kumuandama mtoa maada.kama mahali pa kazi kuna harufu ya udini au ukabila hatuwezi kunyamaza eti kwa kisingizio kuwa hayo mambo hayana tija.huo ni upuuzi,Kiongozi yeyote anayeajiri watu kwa misingi niliyotaja hapo juu ni sumu kwa taifa letu,Kitu cha msingi ni kumwomba mtoa maada atuthibitishie kwa vielelezo sio kumuandama
 
Mimi sipati shida mtu akiwa na vigezo yaani taaluma inayofanana na kazi tunayoizungumzia, udini hivi hapa tanzania nilini tutapata mtu ambae hana dini? Mambo haya niyakijinga kudhani yakua, pale tanesco kwa kua wafanyakazi wengi ni wakatoriki basi waisilamu wanabaguriwa huo ni ujinga mwaka jana, rais kikwete mwislamu, makamu wa rais mwislamu kulikua nashida gani ?mbona nchi ipo mambo mengine hamsemi mfano jina langu yohana mchepuko wangu ashura au mimi said mchepuko anna ana akitoka kwa said anaenda kwa yohana ashura nae kwa said hapo nikuzungukana hapo husikii mtu kuraramika ila kwenye hoja za kijinga mtu anatoa povu tuwe tunakubari vyeti vyako vya darasa la Saba unataka uwe engenia wapi na wapi.
 
Taaluma ndio huzingatiwa. Ndugu zetu acheni kukaa vijiweni kucheza bao na kunywa kahawa, Someni. Dini tumeletewa tu zictumike km fimbo ya kupiga wengine. Na mara zote ndugu ze2 hua ndio mnalalamika.

Mimi ndugu yangu kabisa hataki kuajiriwa sababu ya riba mshahara ukiwekwa bank. Sasa km wapo wengi wenye hzo mentality nan atafanya kazi? Yangekua mashirika ya kidini sawa lkn shirika la umma ndio liangalie dini. Kwanza serikali haina dini.
 
Huyo mkulu ndio mshabiki mkuu wa haya mambo,nashangaa BAKWATA wamekaa kimya badala yake wamejaa unafiki wa kujipendekeza kwa viongozi wa serikali issue sensitive kama hizi hawaziongelei.
 
Kama hamtaki kusoma physics mnataka kubebwa? Hahahah elimu bure saiv
 
jamaa wako makini sana kuchunguza udini wangekuwa wala usingesikia lawama yoyote fanyen kazi achen majungu.
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....


tanesco-1-png.329206


tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212


tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
Ningekua msemaji wa shirika ningefunguka ila naamini watakuja kuweka sawa
Lakini
Waislam wapo wengi tu hats mimi
Nimwislam mbona?
Kingine. Waislam wengi hatukusoma elimu dunia mapema tulisoma elimu ya ah Hera.
Mfano , sisi tulifanya interview watu 30 waislam tulikua wawili tu
Na tukaajiliwa 10 waislam 2 tu
Sasa hapo bado nikosa la mwajiri?
 
Tukaangalie vyuoni wanaograduate electrical engineering sio veta
 
sipendi mada hizi maana huwa hazipangwi zinatokea tu.tuachane na mambo ya udini tufocus kusaidia uchumi wa nchi yetu.pakuwa na umeme mzuri wanaofaidika ni wote.tuubge mkono juhudi njema na sio kuwasha mioto isiyo na maana
Mada inapokuwa katka uislam unasema udini na inapokuwa upande wenu mnasema tuache udini haaa
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
Ongea ukweli usipotoshe
 
Hamna lolote, ni mpuuzi tu anaweza kufikiri kidini, kwanza tuna uhakika gani kuwa hizi takwimu ulizotoa ni sahihi? Sidhani kama ajira zinatolewa kidini mahala popote serikali na kama ipo sidhani kama ni kwa kiasi hicho! Ina maana akija mkristo na mwislam alafu wakati wa interview mwislamu akashindwa kufanya vyema, unataka achaguliwe tu kisa dini? Acha kabisa usitulishe udini Watanzania.
 
DAU kawachanganya sana, na ule msikiti NSSF ulikuwa unatafuta nini? TANESCO UMEONA KUNAKANISA?
Mkulu!
Shule ya Sekondari Mzumbe kuna msikiti tangu zamani, kwenye viunga vya shule na hakuna aliyewahi kuhusisha hilo na udini.
 
lazima uelewa ndugu NSSF apakuwa na msikiti palitengwa sehem ya kuswalia waisalm coz muislam anaweza kuswali sehem yoyote itakayokuwa safi...km umesafiri ktk boti za azam kuna sehem imetengwa kwajir ya kuswali so atuwezi kusema ktk boti kuna msikit...ili msikiti utimie kuna baadhi ya vitu lazima vitimie km kibla,mimbar,quraten,imam,n.k or unaweza kutueleza msikiti wa NSSF ulikuwa unaitwa masjid gani???

Kuna sehemu imetengwa kwa watu wa seen nyengine? au waislam tu?!
 
Mkuu Hata HRM , Marketing , , accounts parokia imetawala hapo Tanesco.

Kifupi ni kuwa Tanesco ni Parokia.

Upo dogo? mbona unachelewa? wasomeeni muhalira wote wafukuzwe kazi tukashike nafasi zao..takbiriiii
 
Wala nguruwe wana chuki sana na uislam

wewe aliye kuzuia usile nguruwe nguruwe nani kasome suratul al maida aya ya 5,6; chaumbile Imulungu ni cha kumemena dogo...ukipata hashua+ubongo na chachandu@matango ushushie ka laga bardi kanatoa jasho...hhhhhhhhh...alihamdulilahi lazima itoke..>
FN_Tyler-Florence-Smothered-Pork-Chops_s4x3_lg.jpg
yallah..hhhhhhhhhhhh..
 
canstock25386650.jpg
Karibu UST nyamanze, ritz, gavana, polite...
 
Back
Top Bottom