TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Mnaoshabikia kaweka facts naona kama hamtendi haki, yeye amechambua ukristu na uislamu anasema ameleta utafiti! Not faiir. Aje na facts hizi kila cheo
1. Waliomba wangapi
2. Walikuwa na elimu gani
3. Walikiwa na uzoefu gani
4. Walikuwa wana umri gani
5. Tanesco ilikuwa inamtaka mtu wa namna gani
6. walitumia utaratibu gani kuwachuja mpaka wakampata mtu kwa nafasi yani.

Hapo utaweza kutuonyesha udini ulipotokea. Usikurupuke tuu kurukia conclusion kwa jambo unaloliwaza!

Nahisi una affiliation za uislamu mtoa post. Kabla hujafanya hivyo, hebu rudi nyuma uangalie wakati wa kikwete composition ya baraza la mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu mawizara na viongozi mbalimbali wa serikali na institutions mabalimbali ndipo utakaponyamaza na usithubutu kusema tena. NAOGOPA SANA KUSEMA MAMBO YA UDINI NA UKABILA!
 
Si kwa sababu ya mfumo kristo?

Wewe unadhan nchi nyingine wale maaskofu na yale makanisa yaliyonufaika na wizi wa escrow wale si wakitakiwa wawe jela wale?

Umesahau wezi wengi nchi hii ni hawa hawa jamaa zako waliojazana huko serikalin?

Umeamsahau chenge?tibaijuka?basil mramba?daniel yona?balali?list ndeeefuu

Nchi hii ni maskin sababu ya nyinyi jamaa

Wizi tuuh na ufisadi ndicho mnachokijua

Af then mnajiita wasomi...wasomi gan vibaka wakubwa
Wamesoma ndo maana wameweza kupata nafasi yakutuibia nyie chezeni bao tu
 
Umeona wapi waislam wanalalamika kama chanzo kikubwa nyinyi kulalamika kuhusu NSSF..uwe na kumbukumbu kijana...tafti moja tu inaonesha mmepeana nafasi povu lakutokaa....mmechokoza wenyewe subirini fact zinakuja...wajinga kabisa nyie....


Mlilalamika wakati wa Mhe. Mkapa mpaka mkapewa chuo cha TANESCO MOROGORO, mkafanya kuwa chuo chenu, matokeo ya kidatu cha nne mnalalamika mara nyingi tu.

Hakuna kitu cha kupeana nafasi ikitangazwa muombe na mkiwa na sifa mtapata.

Tatizo mnapenda mteremko sana wenzetu
 
Wamesoma ndo maana wameweza kupata nafasi yakutuibia nyie chezeni bao tu

Kwani mfumo wa utawala uliopita si ndio ulitengeneza mazingira ya wizi. Kwani kiongozi mkuu alikuwa mkristo? Nafasi karibu zote Za maamuzi mlikuwa nyie
 
Mnaoshabikia kaweka facts naona kama hamtendi haki, yeye amechambua ukristu na uislamu anasema ameleta utafiti! Not faiir. Aje na facts hizi kila cheo
1. Waliomba wangapi
2. Walikuwa na elimu gani
3. Walikiwa na uzoefu gani
4. Walikuwa wana umri gani
5. Tanesco ilikuwa inamtaka mtu wa namna gani
6. walitumia utaratibu gani kuwachuja mpaka wakampata mtu kwa nafasi yani.

Hapo utaweza kutuonyesha udini ulipotokea. Usikurupuke tuu kurukia conclusion kwa jambo unaloliwaza!

Nahisi una affiliation za uislamu mtoa post. Kabla hujafanya hivyo, hebu rudi nyuma uangalie wakati wa kikwete composition ya baraza la mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu mawizara na viongozi mbalimbali wa serikali na institutions mabalimbali ndipo utakaponyamaza na usithubutu kusema tena. NAOGOPA SANA KUSEMA MAMBO YA UDINI NA UKABILA!

Mkuu umemaliza kabisaaaa... Kama mimi mtoa posti ningeiondoa
 
1.tafuta takwimu za kwako ambazo ni sahihi kisha uziweke hapa
2. Si kwa idadi hyo yaani muislamu 1 shirika zima?? Sio hoja eti waislam kuwa hawajapata fursa ya kusoma ebu tuangaze huko vyuoni ina maana wote wale hufeli na kuishia mtaani??
Mtake msitake huo ndo ukweli wa mambo ulivyo
Kama ndiyo ukweli wa mambo, tufanyeje sasa ndugu yangu? Naona umelifanyia utafiti wa kina sana suala hili mpaka umepata orodha ya watumishi wote wa TANESCO.
 
Usomi upi unaozumgumzia? Labda niambie nafasi ipi ambayo Mkirsto anayo ambayo Muislam hana?

Halafu nifahamishe hao wasomi Wakirsto waliojaa serikalini wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini?

Nasubiri majibu tuendelee na mnakasa.
Sasa kama CCM inakumbatia Ukristo huko serikalini kwanini usiame CCM na kuamia CUF chama mnachosema ni cha Waislamu??? Au unaitenganisha CCM/Serikali na Umaskini wa watanzania???
 
Ndiyo maana Tanesco wizi mtupu, huduma mbovu, hakuna ustaarabu hata chembe.

Hii nchi ilitakiwa iwe na umeme 100% lakini kwa hivyo mijitu iliyojazana huko, labda sasa.

Sasa mngeweka na list kama hiyo ya NSSF tujionee nani ni wadini wa kutupwa.
Na hata marais tulipoanza kuwachagua vilaza wanatoka upande uleule wa walalamishi
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Mkuu ingekuwa vizuri pia kama ungeweka na CV zao na pia ungeeleza ni Jinsi gani hizo nafasi za hao Zonal Managers zinapatikana na ungeenda mbali zaidi kujiuliza Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ambaye yupo alichaguliwa na nani?
 
Mkuu umeweka facts. Uzi huu na ule wa NSSF lazima uwe endelevu, tujue nani ni mdini na nani siyo mdini. The Big Show, njoo huku hawa jamaa leo wameanikwa. Mleta mada tunakushukuru sana.
Unashukuru kwa majina?vipi wasifu au CV za hao watu?Wanastahili au hawastaili?Acheni kulialia na hoja dhaifu za udini, nendeni shule
 
Unafact au porojo tuu...lete takwimu uthibitishe unayosema..alafu km ni hivyo hawasomi why mnalalamika kuwa wapo wengi NSSF?..km huna point kaa kimya pumbavuuuuuu weeeeee
matusi ya nini...kwa wale wanaoijua NSSF toka ikiwa NPF, tunajua jamaa alikuwa mdini na mwizi!....
 
Kama manavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa inaudini na kuna threads nyingi sana zinazungumzia hizo tuhuma kama huu uzi hapa chini. Ajabu hakuna aliyeleta ushidi wowote kuthibitisha tuhuma hizo

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa kuna hizi tuhuma za udini TANESCO na kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa:

View attachment 329206

View attachment 329207
Pia katika Takwimu kuna kitu kinaitwa comparing the likes , ungeweka CV za hawa wa TANESCO na hao wa NSSF mkuu then tungekuwa ina position ya kujadili tafiti yako, otherwise your blinded na biased na udini?Rekebisha hilo then njoo vizuri bado kuna muda mkuu , hoja ujibiwa na hoja
 
Nani kakuambia hakuna vigezo? Acha hizo. Visingizio vilikua zamani, Waislam wameamka. Na bahati yenu kwa kua MoU imesaidia. Acheni hizo! Leo ndo unasema vigezo? Acha udini!
Weka CV zao kaka badala ya majina ya hao wa NSSF na wa TANESCO
 
Sasa nyinyi mnajua kaz gan zaid ya wizi tuuh?

Nchi hii kila siku wizi na ufisadi ukitizama ni watu wa dayosisi...

Juz juz hapa Escrow mkaona haitoshii mkaleta kabisaaa maaskofu na makanisa

Ujue nyinyi ni nuksi sana

Ngoja Magufuli awatumbue
Haya ni madhara ya ukewenza. Unachokiona wewe ni kitu hasi tu, huoni jambo chanya hata moja. Kulalamika hakuna msaada, peleka watoto wa shule, hakikisha wanafaulu na sio wanakwenda kucheza gololi. Weka msisitizo nyumbani kwako kwanza, ili mtoto wako asije akawa mlalamikaji sugu kama wewe.
 
We we kama huna elimu na vigezo basi usitake kuleta swala la udini katika hili soma ili uje uwe kama hao usilete wivu kwenye ajila zawatu


We we unaongelea elimu nchii hii kuna watu wapo of is in I ila viwango vyao vya elimu ni tofauti na nafasi zilizopo
 
Siyo tuh kajenga Kanisa

CEO wa Tanesco kajenga Parokia kabisa hapo ofisin

Wewe huon hizo ajira wakristo tupuu kama kuna sherehe ya kipaimara vile...

Hovyo kbs na hakuna cha maana mnachofanya na dayosisi zenu huko serikalin zaid zaid ya wiz na ufisadi tuh

Big up Magufuli anavyowatumbua majipuu hayoo

Maana angekuwa muislam huyo mngekimbilia kwenye huruma za udini
.
Sasa huyo mkristo mwenzenu ngoja awanyoooshe sasa
Pelekeni watoto shule,madrasa,jiulize katika best schools &universities hapa nchini nyie mpo!anzieni huko si kutaka nafasi nzuri bila vigezo!
 
Tanesco kuna udini kupitiliza. Ukiwa muislamu haupati kazi kabisa
 
Back
Top Bottom