TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Huu ni upuuzi mtupu. Abusu jiwe, kuni au nyumba lakini uwe msomi.
Mwishoni mnaweza kuja na maada ya wanene au wafupi. This has nothing to dio with your intellectual ability. Education should emancipate you from simple ethnicities like these. Knowledge, altitute and practices should be reflected by the level of education a person has and not otherwise.
 
Hii hatari nilichokuelewa hapa wakristo wengi hawapendi waislam wapate ajira wakiongezeka tu wavaa hijabu kumi wanaonekana waislam wengi ila kama NSSF ndo ingekuwa kama Tanesco Dau angenyongwa

Dau ni mwizi period
 
Tanesco ni mojawapo ya taasisi ambayo watendaji wake inabidi wawe na right technical background.

Hivyo ningekushauri ulieanzisha uzi uende mbali kidogo na kuangalia ikiwa kuna waislamu wameachwa lakini wana the right technical qualifications kwa hizo positions.

Au ukitaka kupata picha, nenda pale UDSM electrical engineering mwaka wa tatu na nne, uliza majina ya wanafuzi wanaosomea electrical engineering, halafu linganisha walio waislamu na walio wakristo. Labda hapo tutaanza kuona lojiki ya thread yako.

Tanesco sio NSSF ambapo mtu yeyote anaweza kuwa meneja na bado shirika likaenda tu. Watu lazima wawe na sifa zinazostahili.

Asadsyria ndo kazi yake aende to UDSM akafanye research kule engineering,mkimaliza aende computer eng,baadae aende UCLAS then muhimbili atakuja na majibu sawia na atajuta kuwa muis
 
Wewe mkojolea nyuma shika adabu yako!
Hiyo elimu ambayo mliyosoma kuwazidi Waislamu ni ile ya kuibia Watanzania na kuweka ujanja ujanja na yale na MoU yenu ama elimu ipi?

Wasomi ni wengi ukiwemo wewe CHURA, ila waelimika ni wachache wakiwemo 98% Waislamu.
20160311_043732.jpg
20160311_043732.jpg
 
hahaha ushahidi wa parokia ndani ya tanesco, na ndio maana kipindi kile dr rashidi akiwa dg alikuwa anqpigwa sana vita,kumbe ni kutokana na uislam wake. Lakini kiukweli Dr Rashid alikuwa ni super director, baade akaja mwenzao madudu aliyoyafanya...ni historia, sijui hizi seminary zao kazi yake kuu ni kuzalisha mafisadi tuu,yaani nashindwa kuelewa mkuu, hii elimu wanayojivunia ni elimu ya aina gani
1457871267131.jpg
 
sipendi mada hizi maana huwa hazipangwi zinatokea tu.tuachane na mambo ya udini tufocus kusaidia uchumi wa nchi yetu.pakuwa na umeme mzuri wanaofaidika ni wote.tuubge mkono juhudi njema na sio kuwasha mioto isiyo na maana
Mkuu udini upo na lazima uanikwe ili ukemewe
 
Tangu Dau atolewe NSSF ...kuna kama ka kampeni kanaendelea kuhusu mambo ya dini....nani anairatibu hii kampeni????
 
NSSF waliwahi kujibu swali kama hili lilipo ulizwa?
acheni uzumbukuku fanyeni yenu
 
Leo watu wanaitumbulia macho financial muscle ya Nssf kwa sababu ya Dr dau,ni yeye ndie aliefikisha hapo, Wacheki kina John kule Pspf,ppf,lapf wanavyoiua mifuko.Ziada ya yote mada kuu hapa ni Tanesco kugeuzwa parokia,na ndio maana umeme umekuwa wa shida,sasa usitutoe kwenye mada,uzi wa Nssf upo hapo juu,nenda kaweke yako ya moyoni kule
 
Mkuu huna data,pspf alikuwepo hawa mmanga akamkabithi Adam mayingu,kwa taarifa mfuko unaokua ka kasi ni LAPF,Nssf wanakuwa katika kushuka,walifika peak sasa wanarudi back to zero
 
Mkuu huna data,pspf alikuwepo hawa mmanga akamkabithi Adam mayingu,kwa taarifa mfuko unaokua ka kasi ni LAPF,Nssf wanakuwa katika kushuka,walifika peak sasa wanarudi back to zero
Kwa case ya Lapf, tema mate ndugu yangu,yuule DG aliyepita wa Lapf alijitahidi sana kuiwekea msingi lile shirika, ila huyu Eliud Sanga analipeleka shirika kuzimu, Yule jamaaa ni fisadi wa kutupwa,mama mmanga aliicha Pspf ikiwa safii kabisa
 
Kwenye vigezo vya ajira dini haimo! Dhana ya kubalansi dini ni dhana dhaifu isiyokuwa na tija kwa watanzania!
Wakiwa wote ni waislam au wote ni wakristo hakuna tatizo Kama wana vigezo vya kitaaluma, kimaadili na ni wachapa kazi!
Ukristo au uislam wa kiongozi hautusaidii!
Ninashangaa watu kulalamika kuwa wakristo ni wengi! Anzeni kulalamika kwa nini seminari za waislaam hazifaulishi kama semiari za wakristo! Tofauti inaanzia kwenye taaluma!
 
Kwa case ya Lapf, tema mate ndugu yangu,yuule DG aliyepita wa Lapf alijitahidi sana kuiwekea msingi lile shirika, ila huyu Eliud Sanga analipeleka shirika kuzimu, Yule jamaaa ni fisadi wa kutupwa,mama mmanga aliicha Pspf ikiwa safii kabisa

Mkuu LAPF ulikuwa haijulikani kabisa enzi za yule alipita na mmanga ndo aloua pspf ndo maana alimuweka Adam mayingu ili alinde ufisadi wake,sasa Adam ni mgala au firauni?
 
Back
Top Bottom