TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Pelekeni watoto shule,madrasa,jiulize katika best schools &universities hapa nchini nyie mpo!anzieni huko si kutaka nafasi nzuri bila vigezo!
Umeshauri vizuri sana mkuu. Ni vema tukazingatia sana sura ya utaifa katika serikali na mashirika mbali mbali. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa utafiti wa kuangalia tu wakristo ni wengi kwenye utumishi wa umma na ukuu wa taasisi mbali mbali. Kuanzia utendaji wa kijiji/mtaa, ukuu wa shule mpaka ukurugenzi na ukatibu mkuu. Hii ni kwasababu ya kihistoria. Lakini hatuwezi kuwapa hoja wasioitakia mema nchi au wale wenye legitimate claims kwa sababu tu za kihistoria, sivyo tutalazimishwa kuibadili hali Hiyo. Yaliyotokea Lebanon yanatosha kuwa funzo kwenye nchi zenye dual population ( kwa muktadha wa dini) kama yetu.
 
Wakristo wameshaona hii nchi ni ya kwao...wakiajiriwa hakuna kazi wanayofanya zaidi ya wizi na ufisadi
 
Naziogopa sana mada zinazozungumzia au zinazotoa ishara ya kuelekea kuzungumzia udini na ukabila.Naomba kupita tu.
 
Kama kila jina ndiyo linawakilisha dini ya mtu Julius Mtatiro ni Mkristo au ni muislamu?
 
Mkuu umeweka facts. Uzi huu na ule wa NSSF lazima uwe endelevu, tujue nani ni mdini na nani siyo mdini. The Big Show, njoo huku hawa jamaa leo wameanikwa. Mleta mada tunakushukuru sana.

!
!
Kuwa mkristo au muislam ni zaidi ya kumiliki majina ya kikristo au ya kiislamu. Kwa mimi muislam ni mtu anayeishi kwa kufuata maadili YOTE ya dini hiyo, ikiwemo kutimiza na kuzifuata kikamilifu nguzo tano za kiislam. Mkristo kwangu ni yule anayefuata kikamilifu mno mafundisho ya kikristo ikiwa ni pamoja na kuwa na upendo. Hayo ni majina tu. Wengi wa watu duniani ni wapagani tu, hawana dini.
 
Sasa kama Mnasema shule hatutaki why wakienda shule wakapata Nafas za kaz mfano Nssf huko mnakowaona nyinyi mnaanza kulia lia kuwa wanapendelewa kwa udini?

Nyinyi mkitaka muwe pekeyenu kama Dayosisi ya Tanesco ili mfurahi?

Kwan umeskia Vatican hapa...!

Hii nchi siyo mali ya kanisa kaa ukijua hilo

Mkuu THE BIG SHOW naona leo umepania kumwaga nondo kweli kweli, ila nataka nikukosoe kidogo, sio kila dhehebu la kikristo lipo chini ya VATICAN, ni hilo tu mkuu.a
 
The big show jeshi la mtu mmoja ndugu ahsante kwa ukweli uliotukuka ila kosa waislamu wengi sisi waoga wa kutoka na kuihoji serikali!
 
Kwa kumbukumbu zilizopo takwimu za ukristo na uislam utokea tu pare rais mkristo anapoingia ikulu, hao Wa tanesco wameajiriwa wakati Wa jk mbona hatukuwahi kusikia malalamiko?
 
kama waislamu walikuwa na elimu waka ajiriwa nssf,watakosekanaje wa kuajiriwa tanesco?
Kama wakristo wana elimu na wakaajiriwa tanesco watakosekanaje nssf? Umeshapima performance ya tanesco na nssf? Hapo ndo utajua wagala
 
Hata mpige kelele humu haitawasaidia dau keshatumbuliwa lililobaki ni kupelekwa segerea akanyee ndoo
 
hii nchi waislamu tunanyanyasika sana...tumesoma sana lakini hatupaewi kazi kwa ajili ya imani yetu




Tofautisheni haki na upendeleo.mmesoma wapi???embi taja shule na vyuo vya waislam??hivi siku wakristu wakiwakataa msome kwwnye shule zao.au.msitibiwe kwenye hospitali zao si itakuwa disastors??
 
Hawa jamaa kwa kutafuta njia nyepesi hili waonewe huruma hawajambo,yaani they're too cheap! Ten year ikulu imekuwa na rais mwislam,makamu mwislam,jaji mkuu mwislam,mkuu Wa usalama Wa taifa muislam bado wanalialia tu ,what's wrong with you janjaweed?
Remember,there is no free lunch in town get yourself good education instead of being crying babies.
Ongeza orodha ya kamati mbalimbali za ccm
 
Back
Top Bottom